Here is what happened
Kulala saa nane usiku kila siku sio good idea, labda kama inakulazimu kufanya hivyo. Ila kama hauna kinachokulazimu kukaa macho ni vizuri ukawa na mda wa kutosha wa kupumzika ili usianze siku mpya na uchovu. Kuamka 5:30AM sio sheria ila kuamka mapema ni muhimu, inaweza ikawa 6:00AM au 7:00AM inategemea na routine zako za kila siku.Tunaolala saa 8 usiku tumaamka saa ngapi
Today up to this time, i manage to read one chapter in a book
Sana, tena ufanye mazoezi kwa saa moja. Kazini ukiingia uko fresh. Wale Walio lala mpaka saa moja bado utawaona wanasinzia.Kuamka mapema ni afya
05:40