after having sex

Mtanzanika

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
2,389
Reaction score
1,131
After having sex:-
Americans n Europeans:They look for
drinks to cool themselves n chat a little
Asians(indians)-They rush to the
kitchen,grab whatever is left there and
eat it with chillie
Africans:"Honey hivi chupi yangu iko
wapi siioni....."eh kwani wakati unavua
uliitupa wapi?".....Ooh ile pale juu ya
feni ilifikaje kule!!"
 
Kweli watu weusi balaa, chupi hadi juu ya feni!
 
imenifanya nicheke mpaka waliojirani yangu wanashangaa!
 
haaaaa haaaaaa ur nat seriour haaaaaa haaaaa kwa maana weusi hanakurupuka tu haya bahna
 
Sio hivyo tu tani chupi imekwendaje juu ya friji. yani hatuandaani ndio maana yake.
 
Crayz africans unaanza na trouser sitting room ,vest kwenye corridor, then chupi kwenye fan......aaah thats i like africa is a good joking by the way.
 

Ama kweli ni balaa
 
miaka ya sabini watu wengi hawakuwa wanavaa chupi sijui mambo yalikuwaje maana full kipupwe kwenye nomino
 

mh bora mie mweupe, poleni weusi wote
 
Kuna jamaa alikuwa anaishi chumba kisicho na ceiling board kuna siku wanajiandaa kula msosi wakashituka puuuh! juu ya meza,kucheki ni chupi toka chumba cha pili! hapo chacha
 
Kuna jamaa alikuwa anaishi chumba kisicho na ceiling board kuna siku wanajiandaa kula msosi wakashituka puuuh! juu ya meza,kucheki ni chupi toka chumba cha pili! hapo chacha

kudadadeki!
 
Quirine nimeipenda hiyo. Hutokea mara mojamoja ndio maana hata gari imewekewa feni mbele ya injini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…