Niwemugizi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 902
- 462
Amani ya Congo na nchi zote za Afrika inategemea kama serikali imesalimu amri kuwa mwanasesere(serikali kibaraka) ya US au moja ya wababe wa mataifa ya NATO.Dunia bwana ina mambo mengi sana na hasa Wamarekani usiwachezee, wanakutumia then wakimaliza wanakudump tu unakuwa kama kondomu baada ya kutumika haina thamani tena.........
Sasa Bosco Ntaganda tayari anatakiwa ICC who is next, my guess goes direct to Laurent Nkundabatware, then the last will be President Kagame maana dume mara nyingi huwa linapelekwa machinjioni siku ya mwisho.Nasema hivo maana bila Rwanda kuingilia DRC amani ingekuwa bado inatawala
Dunia bwana ina mambo mengi sana na hasa Wamarekani usiwachezee, wanakutumia then wakimaliza wanakudump tu unakuwa kama kondomu baada ya kutumika haina thamani tena. Huyu General Bosco Ntaganda na ndugu yake General Laurent Nkundabatware ambao wote ni watusi wa Kinyarwanda wameisumbua sana DRC wameua, wamebaka na kutumikisha watoto wadogo kwenye vita vya msituni. Ndugu yangu ukiangalia documentary inayohusu hawa ndugu wakiwa wanafanya unyama utatokwa na machozi.Documentary hiyo inaitwa Blood Coltan.
Sasa Bosco Ntaganda tayari anatakiwa ICC who is next, my guess goes direct to Laurent Nkundabatware, then the last will be President Kagame maana dume mara nyingi huwa linapelekwa machinjioni siku ya mwisho.Nasema hivo maana bila Rwanda kuingilia DRC amani ingekuwa bado inatawala
Hivi wale INTERAHAMWE walioendesha mauaji then wakakimbilia DRC na Serikali ya DRC ikawahifadhi... na hawajafikishwa hata kwenye Mahakama ya mauaji ya kimbari - ICTR, na wemekuwa waliishambulia RWANDA...Jumuiya ya Kimataifa inasemaje juu ya hilo??Dunia bwana ina mambo mengi sana na hasa Wamarekani usiwachezee, wanakutumia then wakimaliza wanakudump tu unakuwa kama kondomu baada ya kutumika haina thamani tena. Huyu General Bosco Ntaganda na ndugu yake General Laurent Nkundabatware ambao wote ni watusi wa Kinyarwanda wameisumbua sana DRC wameua, wamebaka na kutumikisha watoto wadogo kwenye vita vya msituni. Ndugu yangu ukiangalia documentary inayohusu hawa ndugu wakiwa wanafanya unyama utatokwa na machozi.Documentary hiyo inaitwa Blood Coltan.
Sasa Bosco Ntaganda tayari anatakiwa ICC who is next, my guess goes direct to Laurent Nkundabatware, then the last will be President Kagame maana dume mara nyingi huwa linapelekwa machinjioni siku ya mwisho.Nasema hivo maana bila Rwanda kuingilia DRC amani ingekuwa bado inatawala
haya maneno inabidi umuandikie kobe na mbwa kichaa! sasa na vita vya mali kaleta nani na nani kaja kuokoa maafa ya watu wa mali? Koma kabisaa kuwa na chuki na mataifa ya ulaya kwa sababu yao ya christian values! Vita vya centra africa kaleta nani na nani atakuja kuokoa watu wasife wengi? wewe unaacha kuyalaumu mataifa haya matatu ya kiarabu Iran, Oman na Yemen ambayo yamejiingiza sana na kuleta migogoro africa kwa sababu ya kutaka sharia itawale bara la africa unakimbilia kulaumu USA! sometime you need to grow up anda wise up!!Amani ya Congo na nchi zote za Afrika inategemea kama serikali imesalimu amri kuwa mwanasesere(serikali kibaraka) ya US au moja ya wababe wa mataifa ya NATO.
Historia ya Congo iko wazi, mataifa kupe ya US na ulaya ndio yanayotengeneza mazingira ya vita,migogoro ili ziendelee kupitisha mrija wa kunyonya mali na rasilimali za nchi za Afrika.
Ni kweli nchi kupe (parasite) hutumia hizo condom na wanapomaliza haja huzichoma moto(huziua) au kuzipeleka Uholanzi au Arusha kuzipumzisha.
haya maneno inabidi umuandikie kobe na mbwa kichaa! sasa na vita vya mali kaleta nani na nani kaja kuokoa maafa ya watu wa mali? Koma kabisaa kuwa na chuki na mataifa ya ulaya kwa sababu yao ya christian values! Vita vya centra africa kaleta nani na nani atakuja kuokoa watu wasife wengi? wewe unaacha kuyalaumu mataifa haya matatu ya kiarabu Iran, Oman na Yemen ambayo yamejiingiza sana na kuleta migogoro africa kwa sababu ya kutaka sharia itawale bara la africa unakimbilia kulaumu USA! sometime you need to grow up anda wise up!!

Pata maarifa zaidi hapa kama ni mpaka mzungu(mkiristo) aseme mambo ndio uamini.haya maneno inabidi umuandikie kobe na mbwa kichaa! sasa na vita vya mali kaleta nani na nani kaja kuokoa maafa ya watu wa mali? Koma kabisaa kuwa na chuki na mataifa ya ulaya kwa sababu yao ya christian values! Vita vya centra africa kaleta nani na nani atakuja kuokoa watu wasife wengi? wewe unaacha kuyalaumu mataifa haya matatu ya kiarabu Iran, Oman na Yemen ambayo yamejiingiza sana na kuleta migogoro africa kwa sababu ya kutaka sharia itawale bara la africa unakimbilia kulaumu USA! sometime you need to grow up anda wise up!!
Hahaha yaani umenifurahisha sana ndugu yangu kweli habari hizi amwandikie Kobe, Jasusi na mbwa kichaa lakini wengine tupo macho aitake kutudanganya mchana kutwa
haya maneno inabidi umuandikie kobe na mbwa kichaa! sasa na vita vya mali kaleta nani na nani kaja kuokoa maafa ya watu wa mali? Koma kabisaa kuwa na chuki na mataifa ya ulaya kwa sababu yao ya christian values! Vita vya centra africa kaleta nani na nani atakuja kuokoa watu wasife wengi? wewe unaacha kuyalaumu mataifa haya matatu ya kiarabu Iran, Oman na Yemen ambayo yamejiingiza sana na kuleta migogoro africa kwa sababu ya kutaka sharia itawale bara la africa unakimbilia kulaumu USA! sometime you need to grow up anda wise up!!
Hivi wale INTERAHAMWE walioendesha mauaji then wakakimbilia DRC na Serikali ya DRC ikawahifadhi... na hawajafikishwa hata kwenye Mahakama ya mauaji ya kimbari - ICTR, na wemekuwa waliishambulia RWANDA...Jumuiya ya Kimataifa inasemaje juu ya hilo??