let's wait and see... tatizo la hawa celebrities wa majuu ni kutotofautisha maisha yao halisi na maigizo; huyo angelina keshaolewa mara tatu, brad yeye keshaoa mara mbili... unaweza kutegemea ndoa ya kudumu hapo kweli kama siyo yaleyale ya akina kim kardashian?
Hawa wasanii wengi wao ni wajinga na wapumbavu tu. Kazi yao ni uzinzi tu. Kama hawa wamesema hawataoana mpaka ndoa za mashoga na wasagaji zihalalishwe. Sasa washazini miaka 7 na watoto juu. Mi nadhani ni wafuasi wa shetani hawa. Devil worshippers.