Taasisi kama Afrobarometer ni kikwazo kikubwa katika mustakabali wa taifa letu.Utafiti uchwara wa taasisi hii umekosa mashiko na tija kwa Watanzania.
Sidhani ni kweli kwamba mh.Rais Jakaya Kikwete anapendwa na watu wasio kuwa na elimu,na hata kama wakimpenda na kukubali utendaji wake wa kazi kuna tatizo gani?
Kwani Watanzania kwa sababu mbalimbali waliokosa elimu hata kama wanampenda rais JK ni utashi wao,taasisi uchwara ya Afrobarometer wanataka hiyo jamii ya waliokosa elimu wampende nani?wampende rais Kagame wa Rwanda?
Mh.Rais anapendwa na Watanzania wote,wasomi na wasio wasomi.
Sera nzuri za CCM na uwezo mkubwa wa uongozi wa mh.JK vimepelekea Watz wampe ridhaa ya kuongoza taifa letu.Katika kipindi cha uongozi wa JK Tanzania imepiga hatua kubwa katika maendeleo.
Maendeleo ya sasa hivi yameyapita nchi mbalimbali za Afrika.Hivyo taasisi kama Afrobarometer zinatakiwa ziogopwa kama ukoma kwani zinamalengo mabaya ya kuchonganisha wananchi na serikali yao.
Nina mashaka taasisi kama hizi zinatumiwa na baadhi ya vyama vya upinzani ili kuondoa mshikamano na umoja wa kitaifa kwa Watanzania hivyo kuleta vurugu.