Kwa mara nyingine Diamond Platnumz ameendelea
kuipeperusha vizuri bendera ya Tanzania kimataifa,
baada ya kushinda tuzo ya AFRIMMA 2014 (African
Muzik Magazine Awards) zilizofanyika July 26,
Eisemann Center Richardson, Texas, Marekani.
Diamond ameshinda kipengele cha mwanamuziki bora
wa kiume Afrika mashariki.
Diamond muda mfupi baada ya kupokea tuzo yake
Mtanzania mwingine aliyeingarisha Tanzania katika
tuzo hizo ni Lady Jaydee, ambaye nae ameshinda tuzo
moja ya mwanamuziki bora wa kike Afrika mashariki.
Nasikia ndomo kashinda tuzo Mbili ? Maana Mimi najua kapata tuzo moja tu ya msanii bora Wa kiume Africa mashariki, wakina davido ndo wamepata tuzo mbili mbili , wanaosema mbili wanitajie ipi na IPI
Cc:
Dinazarde,
nifah,
lusungo,
geniveros, @ze- dudu,
HHHK