Kim Jo alikuwa anamvimbia Trump coz Trump Ni Mzee wa maneno na porojo, hayuko kivitendo zaidi. Unadhani Kuna Rais mwingine wa Marekani amewahi kuchokozwa akaacha kuchokozeka? Subiri uone Kama Kim Ataendeleaza ule ujinga. Au Iran Kama Ataendeleaza kupiga kambi za Marekani harafu abaki bila kuguswaTrump mambo ya ushoga na ndoa za jinsi moja hakuwa na time nazo.., sasa uyo biden sion kama ana maajabu yyte, tusubiri kim jo kuanza kuvimba sahv
Watetezi wa tawala dhalimu wanajaribu kuaminisha watu kwamba angalau Republicans ni wazuri kwa sababu hawaiingilii mambo ya Afrika!!Mkuu kwani mleta mada kakosea wapi?
Nilichokiona hapo katika hili suala la hao jamaa kuingilia masuala ya nchi zengine hugawanyika katika pande mbili,kuna kama huko kushughulikia madikteta na upande mwengine huingiza ajenda zao kama hizo za ushoga.Watetezi wa tawala dhalimu wanajaribu kuaminisha watu kwamba angalau Republicans ni wazuri kwa sababu hawaiingilii mambo ya Afrika!!
Kwao watu kama Democrats wanawaona maadui kwa sababu wanajua Dems hawapendi kuona tawala za kidhalimu zikifanya udhalimu dhidi ya watu wao wenyewe!! Hawa hawapendi kuona wala kusikia tawala za nje, hussani za magharibi zikikemea uchafu wa viongozi wetu kwa hoja za kipuuzi kama "nchi zetu ni huru, na zina mamlaka huru" kwahiyo hazipaswi kuingiliwa mambo yake!
Yaani wanachotaka, kwa polisi wakianza kuua watu wanaojaribu kudai haki zao za kikatiba basi dunia ipige kimya kwa hoja nchi zetu zina mamlaka huru!!!
Wanachotaka, wakiona watu wanakamatwa na kutupwa jela kwa makosa ya kipumbavu kabisa ambayo kimsingi kinacholengwa ni kuwanyamazisha basi mataifa ya nje yaache tu ushenzi kama huo ukiendelea kwa hoja kwamba Tanzania ni taifa huru!!
Hizi ni hoja za kijinga!!!
Na kwavile wanafahamu Waafrika wengi wanapinga na kulaani ushoga, basi watu hawa huwa wanatumia kete ya ushoga kujaribu kuwa-discredit the Dems kwa kuwaonesha kwamba ni watetezi wa ushoga... ni katika ile nadharia ya "ukitaka kumuua mbwa, mpe jina baya"!
Lakini hiki wanachotaka kuonesha kwamba Republicans hawaingilii mambo ya nchi zingine, kimsingi sio kwamba hawaingilii bali hawajali hata kama mtauana wenyewe kwa wenyewe... it's not their problem provided mambo yao yanaenda!!
Mbona hivyo mkuu kwani mie nimeongea kibaya kipi hapa?Kwani umelazimishwa kuingiziwa mhogo makalioni zezeta wewe ? , Kupumuliwa ni uamuzi wako , so punguza kimbelembele kama Bibi kidude
Ukiwa na mambo ya kishenzi, wewe ni Liafrika TU... sawa na ambavyo mtu mwenye miaka 70 tutakavyomwita LIZEE wakati wenzake tunawaita MZEE simply because hilo ZEE linafanya mambo ya kishenzi!!Waafrika sio Miafrika.Wengine bado mko kwenye usingizi wa Pono.Kazi kwelikweli kumfanya Mwafrika ajithamini.
Asikudanganye mtu...Nilichokiona hapo katika hili suala la hao jamaa kuingilia masuala ya nchi zengine hugawanyika katika pande mbili,kuna kama huko kushughulikia madikteta na upande mwengine huingiza ajenda zao kama hizo za ushoga.
Trump atakumbukwa na waafrika kwa kuwatukana yaani kuwaita "sithole countries".
Hapo kwa Iran nabisha.. Iran ameanza kuwatandika us+ alies Mara tu baada ya 1979..Kim Jo alikuwa anamvimbia Trump coz Trump Ni Mzee wa maneno na porojo, hayuko kivitendo zaidi. Unadhani Kuna Rais mwingine wa Marekani amewahi kuchokozwa akaacha kuchokozeka? Subiri uone Kama Kim Ataendeleaza ule ujinga. Au Iran Kama Ataendeleaza kupiga kambi za Marekani harafu abaki bila kuguswa
Hapo kwa Iran nabisha.. Iran ameanza kuwatandika us+ alies Mara tu baada ya 1979..
Eg 1983, 1988, 2019 bila
Iran ITAENDELEA kuwa hivyohivyo
Kwani Kim jong un na Iran walianza choko choko cha kutengeneza nyuklia katika utawala wa Trump mbona walianza mambo yao tangu bush mtoto yupo madarakani na hawakufanywa kitu ''Kim Jo alikuwa anamvimbia Trump coz Trump Ni Mzee wa maneno na porojo, hayuko kivitendo zaidi. Unadhani Kuna Rais mwingine wa Marekani amewahi kuchokozwa akaacha kuchokozeka? Subiri uone Kama Kim Ataendeleaza ule ujinga. Au Iran Kama Ataendeleaza kupiga kambi za Marekani harafu abaki bila kuguswa
Trump mambo ya ushoga na ndoa za jinsi moja hakuwa na time nazo. Sasa uyo biden sion kama ana maajabu yyte, tusubiri kim jo kuanza kuvimba sahv