Afrika Tuna Safari Ndefu

Kifanyike nini mkuu, hilo ndio la muhimu linaweza hata kukutofautisha nasi Waafrika.
 
Inasikitisha sana...
Hii yote lakini imejengwa na hizo nchi za kitajiri... Kuaminisha kwamba mtu mweusi au mwaafrica hawezi...

Mfumo uliyopo hata sasa... Cha mwafrica kinatiliwa mashaka.. Cha mzungu kinaonekana bora...

Cc: mahondaw
 
Kiukweli africa haita badilika itaendelea kuwa africa,kwani ni sehemu ambayo tumekuwa watumwa wa fikra au vilema wa akili kila jambo la maendeleo tunahitaji msaada kutoka kwa wenzetu kimwili ila akili tuko tofauti nao.%kubwa ya cc waafrika ata ukisoma uko kwa wazungu ukirudi hapa afrika ktk taifa lako unaanza kuwa mbaguzi wafrika kwa wenzako hautaki kugawana na jamii yako ulicho pata ssa ukipata uongozi ndo unakuwa dikteta kabisa na kukandamiza wananchi wako na kujisahau na kujirimbikizia mali na kung'ang'ania madaraka na kusababisha vurugu na kuuwa watu wasiyo kuwa na hatia.huchu wa madaraka ndo tatizo liko hapo cyo kama wenzetu weupe.ila afrika kubadilika mpaka fikra zibadilike wapi msimamo wa AU na vipaumbele vyake ktk kujikomboa na mpango mkakati wake.
 
Ukiangalia haya maisha yetu toka tangu na tangu utaona Kuna madaraja ya tofauti za kimaisha kwa maana ya kuanzia matajiri hadi ombaomba,hii hali ipo toka enzi hadi sasa.

Laiti kungekuwa na kanuni ya kufanikiwa kimaisha kwamba ukifuata hiyo kanuni lazima ufanikiwe basi naamini hadi leo hii kusingekuwa na masikini. Hivyo ikiwa kwenye kufanikiwa kwa maisha ya mtu mmoja mmoja tu hali iko hivyo,je unafikiri huu umasikini wa waafrika ndiyo tutakuwa na majibu yake?

Ni kweli mnataka kusema Kuna sababu zenye mantiki ambazo zinafanya afrika iwe hivi ilivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…