Asilimia karibu hamsin ya Wa South Afrika wanaishi kwenye limbwi la umaskini., asilimia iliyobaki ni matajir wa kizungu na familia Chache za ki Afrika.
Umaskini uliokubuhu duniani unatajwa kwenye nchi zilizo chini ya jangwa la Sahara na kwa kweli hili eneo wanaishi Blacks. Asilimia karibu 12 ya RAIA wa Marekani ni weusi., na wakitajwa maskini walioko US wengi wao ni weusi.
Ni ukweli usiopingika pia, majimbo maskini India ni ya wale wenye traits
za weusi. Tatizo ni mfumo wa fikra zetu., MTU hawez kuhadaa watu kwamba jina la chama linabadili mfumo wa MTU kufikir., tofauti tu ni kwamba akiwa huku anapinga na akiwa kule ana-support.
Wanaopinga nadhan ni hatarr zaid SBB sifa kubwa ya watu hawa hisia(emotions) hutawala akili(intelligence).
Nisisahau na Sudan kusini, wenye traits za weusi wako kusini na walipoona wanaonewa na wenzao wakaamua kujitenga, sasa hivi hamna nchi iliyo hatar kuishi kama hiyo baada ya Somalia. Watu wale wale, mazingira yaleyale viongoz wanatokana na watu hao hao. Afrika tuna safar ndefu.
Africa ni kama treni inayopita kwenye reli isiyo yake.
Tunaisha kwa fikra za wazungu ilihali mazingira ni tofauti.
Ni sawa na mmasai anayejilazimisha kucheza taarabu...Africa ni kama treni inayopita kwenye reli isiyo yake.
Tunaisha kwa fikra za wazungu ilihali mazingira ni tofauti.
Angalia hata kipindi cha Cold war kwa mfano, waafrika hawakujua pa kujishika.Ni sawa na mmasai anayejilazimisha kucheza taarabu...
Hapo ndipo mtego wa umasikini wetu ulipo. Kuhangaikia kuishi mifumo kinzani na fikra na mazingira yetu halisi.
Tunadai ni Usasa na eti ndio HALI HALISI.
Anaita sasa.
Upo sahihi kabisa.Angalia hata kipindi cha Cold war kwa mfano, waafrika hawakujua pa kujishika.
Walio adopt Socialism waliumia, walio adopt Capitalism waliumia vile vile. Hao Capitalists na Socialists wanapigania mifumo ya maisha yao maana ndiyo iliyowakuza kwa kuwa inaendana na mazingira yao.
Africa ilihitaji Thinkers wa kuchunguza tabia na mazingira ya jamii zetu ili waweze kuvumbua na ku-propose mode iliyo tofauti na capitalism au socialism lakini yenye kuendana na asili yetu.
Miaka 60 baada ya kuwa huru bado hakuna la maana lililofanyika, tupo tuna wayawaya kwenye hii mifumo ya mabepari. Hata hivyo bado tunayo nafasi ya kurekebisha mambo kama tukiamua.
Kama kungoa hadi mazao yaliyopandwa tuu!Africa tuna matatizo ya kuwa na roho za ubinafsi tu hilo ndiyo chanzo cha matatizo yote.
Ubinafsi wa madaraka,utajiri,elimu,ajira, fursa n.k
Hai au Siha nadhani!! Huo ni ujinga uliopitiliza kiongozi kuongoza kuyatenda hao.Kama kungoa hadi mazao yaliyopandwa tuu!
Umenena Mkuu wangu. Hongera sana.Angalia hata kipindi cha Cold war kwa mfano, waafrika hawakujua pa kujishika.
Walio adopt Socialism waliumia, walio adopt Capitalism waliumia vile vile. Hao Capitalists na Socialists wanapigania mifumo ya maisha yao maana ndiyo iliyowakuza kwa kuwa inaendana na mazingira yao.
Africa ilihitaji Thinkers wa kuchunguza tabia na mazingira ya jamii zetu ili waweze kuvumbua na ku-propose mode iliyo tofauti na capitalism au socialism lakini yenye kuendana na asili yetu.
Miaka 60 baada ya kuwa huru bado hakuna la maana lililofanyika, tupo tuna wayawaya kwenye hii mifumo ya mabepari. Hata hivyo bado tunayo nafasi ya kurekebisha mambo kama tukiamua.
Uko sahihi mkuuAngalia hata kipindi cha Cold war kwa mfano, waafrika hawakujua pa kujishika.