Afrika tulikosea wapi

Mkuu hapo ni London sio afrika napafahamu..
 
Hapo mimi ningehamasisha wananchi wenzangu tusombelee kifusi tufukie ili maji yapite ndani ya caravat badala ya kujichosha kwenda kufuatilia vitabu vya mahesabu kwa watawala huko
 
Hapo mafundi walihamisha mkondo wa Maji ili wajenge zege hiyo,then waurudishe ulivokua wajaze kifusi yapite mpaka magari, ndo maana kunakadaraja ka mbao hapo ka dharura

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuwa tunatumia nguvu nyingi sana katika mambo yanayohitaji akili kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…