Afrika ndio bara pekee lenye nchi nyingi

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,433
Reaction score
5,062
Kuna nchi 54 zinazotambuliwa kama mataifa huru katika bara la afrika. Nchi iliyokuja hivi karibuni ni sudani ya kusini ambayo imepata uhuru wake mwaka 2011. Sahara Magharibi ikiendelea kuwa mwanachama wa Umoja wa Afrika lakini umoja wa mataifa haujaitambua kama taifa.

Bara Asia ni bara inalochokua eneo kubwa kuliko Afrika, na lina nchi 49 zinazotambulika kimataifa.

Antarctica ikiwa ni bara lenye nchi chache, huku likikosa wakazi wa asili wa bara hilo, mkataba wa antrctic wa mwaka 1959 ulidhamiria kuliweka bara hilo kuwa wazi kwa tafiti za kisayansi na shughuli za kijeshi.
 
Hata USA ni muunganiko wa nchi 52
 
Pia ni moja kati ya mabara masikini zaidi ukilinganisha na utajiri wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…