Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,416
Nimepata kusoma kwenye magroup ya watu waliopo huko kwa sasa yani kila kukicha ni RIP. Ukifuatilia kisa nini mara kapigwa visu, risasi na mambo kibao.
Kiukweli South Africa kama hujaandika mirathi mapema unaweza kujikuta unarudi kwenye sanduku, watu wamejichoka sana.
Watanzania wengi wanaingia mkumbo, nawapa onyo kali kuhusu huku. Kuna watanzania walishakata tamaa wanasubiri liwalo na liwe huku.
Wazazi, ndugu na jamaa washaurini wanaotaka kuja huku wasije kujikuta wameangamia na kuja kufanya kazi ambazo ni hatari.
Nimeamua kuleta hii mada baada ya maiti kila kukicha zinaletwa Tanzania