Huyu jamaa ana gundu sana, kwanza walimuhukumu kifungo cha nyumbani wakaona haitoshi, wakampeleka jela 6yrs na sasa imekua 13, acha tu apotee yule mtoto aliyemuua hata Mimi nilikua namuelewa sana!
Kwani MAGU anajisikiaje akimuona BASHITE anakatisha kwa mbwembwe huku wenzake wenye vyeti feki wakifukuza tumburi mashambaniYule Mama Jaji sijui anajisikiaje leo..
Kwani MAGU anajisikiaje akimuona BASHITE anakatisha kwa mbwembwe huku wenzake wenye vyeti feki wakifukuza tumburi mashambani
SawaSimjui unayemuongelea.