suka chile
Member
- Feb 20, 2013
- 99
- 38
Hakuna matata lakini kuna utata katika jimbo la Umtata.
Hao ni wanachuo wala sio secondary coz hata bongo wanachuo wanasoma na hiyo mambo
Ni kwashakoo ya tumbo..lol!Ni unyafuzi au mimba??
Harufu huwa ni harufu tu ! Chadema na hawa madem wapi na wapi? Harufu ina raha na karaha zake kutegemeana na harufu ya nini? Poa harufu!Ngoja Chadema wachukue nchi, moja ya jambo waliloahidi
Mkuu naona umeninukuu vibaya, sina lengo baya wala nia mbaya na chama cha mtu, ni ahadi tuliopewa na Chadema inabidi tuwaheshimu kwa ahadi walioitoa iwapo watachukua nchi 2015 na Elimu itakuwa bure hakuna kulipia karoHarufu huwa ni harufu tu ! Chadema na hawa madem wapi na wapi? Harufu ina raha na karaha zake kutegemeana na harufu ya nini? Poa harufu!
Ni kwashakoo ya tumbo..lol!