Chadema ndio chama kilichoonesha kutokuyumbishwa na tawala zote tangu kuanzishwa kwake kama vyama vingine cuf,nccr mageuzi na sasa ni act ambayo nayo ni tawi la ccm sijui unataka chama gani
Kwani hao washika Mabunduki hawana akili za kuona mpaka wasubiri Raia? Kipi kina manufaa, kuingia ktk mgogoro na Raia au kuwaambia watu wasiozidi 21, hembu tokeni kwa amani acheni nchi salama?