Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,591
ntarudi
Tupo pamoja mkuu.Atatoka hukohuko ccm ataenda upinzani na maza ataondoka,mark my words,🙏🙏
Andiko lako limejaa ukweli mtupu. Ila Tanganyika au Tanzania tunaangushwa na kutokuwa na tume huru ya uchaguzi pamoja na katiba mbovu. Huko ulikokutaja wanazo TUME HURU ZA UCHAGUZI. Environmental SecurityHello
Mwaka 2010 aliyekuwa Rais wa Nigeria wakati huo hayati Umaru Musa Yar'Adua alifariki akiwa madarakani baada ya kuugua kwa muda mrefu, na kupelekea makamu wake mheshimiwa Goodluck Jonathan, kuongoza nchi hadi ulipofika uchaguzi mkuu ambapo yeye na chama chake tawala waliangushwa na mheshimiwa Buhari, hivyo upinzani ukachukua nchi.
Mwaka 2012, alifariki aliyekuwa Rais wa Ghana mheshimiwa Atta Mills, akiwa madarakani, hivyo kupelekea makamu wake mheshimiwa John Mahama kuongoza nchi hadi ulipofika uchaguzi mkuu ambapo yeye na chama chake tawala waliangushwa na mheshimiwa Nana Akufo Ado ambaye ndiye rais wa sasa wa Ghana hivyo upinzani ukachukua nchi
Mwaka 2012, alifariki aliyekuwa Rais wa Malawi, mheshimiwa Bingu Wamutharika, akiwa madarakani hivyo kupelekea makamu wake mheshimiwa Joyce Banda kuongoza nchi hadi ulipofika uchaguzi mkuu ambapo yeye na chama chake tawala waliangushwa na mheshimiwa Profesa Peter Mutharika, hivyo upinzani ukachukua nchi
Mwaka 2014, alifariki aliyekuwa Rais wa Zambia mheshimiwa Levy Mwanawasa akiwa madarakani, hivyo kupelekea makamu wake mheshimiwa Rupia Banda kuongoza nchi hadi ulipofika uchaguzi mkuu ambapo yeye na chama chake tawala waliangushwa na mheshimiwa Michael Sata (king cobra), hivyo upinzani ukachukua nchi
Mheshimiwa Michael Sata, naye alifariki akiwa madarakani hivyo kupelekea makamu wake mheshimiwa Guy Scot, kwa kipindi kifupi sana kutokana na changamoto za kikatiba ambazo hazikumruhusu kubakia kama Rais wa nchi, hivyo kupelekea nchi kuingia mikononi mwa mheshimiwa Edgar Lungu akiwa mrithi rasmi wa Michael Sata, lakini naye kama tunavyojua, mara tu baada ya uchaguzi ameangushwa vibaya sana na mheshimiwa Rais Haikande Hichilema hivyo upinzani ukachukua nchi.
Tanzania pia, Rais aliyekuwepo alifariki akiwa madarakani, hivyo kupelekea makamu wake kuongoza nchi akiwa ndiye Rais kwa mujibu wa katiba.
Swali ni he! Historia itaendelea kuandikwa Africa kama ilivyokwisha tokea kwa mataifa wenzetu au context ya Tanzania ni tofauti kabisa na hao, au tusubiri wakati ufike..!!??
Karibuni.
Kwa kuitazama CCM ya sasa naona inaenda kugawanyika vipande na hapo litazaliwa kundi la upinzani lenye nguvu lililojijenga tangu sasa kimya kimya.Madam President ameonesha weakness ya kutosha kwenye uongozi lakini tatizo hakuna mpinzani anayeweza kuingia Ikulu.
Hivyo 2025 CCM wataendelea kutawala, possibly atakuwa huyu huyu Madam na udhaifu wake.
Madam President ameonesha weakness ya kutosha kwenye uongozi lakini tatizo hakuna mpinzani anayeweza kuingia Ikulu.
Hivyo 2025 CCM wataendelea kutawala, possibly atakuwa huyu huyu Madam na udhaifu wake.
Amina.Na iwe kama ulivyonena
😂😂😂😂Hakushindwa, ila alingangania madaraka kudhani anaweza kubadilishe mfumo ambao Wanigeria wanao tangu 1956 karibu miaka sabini hivi na hata Jeshi linaufuata.
Mkristo term mbili akitoka Muuislam term Mbili, kifo cha Rais Yara Dua kili interrupt kawaida yao, na kwa busara wananchi wakaamua warudishe kawaida yao.
Kwa uzoefu walio nao dini mmoja ikiendelea kutawala serikali hupinduliwa..
Na akitoka aliyepo madarakani ni zamu ya Wakristo kuminyana wapate mmoja miongoni mwao angoze nchi .
Wapinzani usiowaona ndiyo hawa kila siku vyombo vya Dola vinahakikisha wanashinda magerezani ?!. Kama hawana maana vyombo vya Dola visingeangaika.Madam President ameonesha weakness ya kutosha kwenye uongozi lakini tatizo hakuna mpinzani anayeweza kuingia Ikulu.
Hivyo 2025 CCM wataendelea kutawala, possibly atakuwa huyu huyu Madam na udhaifu wake.
Kwanza, kwa KATIBA yetu tuliyonayo sasa, matokeo ya Rais hayapingwi mahakamani, ni matokeo ya wabunge na madiwani tu ndiyo unayoweza kuyapinga mahakamani. Usione katiba hii inakumbatiwa sana na CCM, hiyo ndiyo ngao yao kuu.Kwa bongo haliwezekan sababu ya katiba yetu ,Hao uliwazungumzia wote wana katiba safi ambayo haimpi Rais mamlaka lukuki mfano Malawi jamaaa wanamahakama safi kabisa waliweza kutengua hadi matokeo ya Rais wakati huku. Kwetu ukienda mahakamani hakimu anakuwa ameshapata maelekezo kutoka juu hapo anakuja kutekeleza tu na blah blah nyingi.
Huo ndio tunautaka kwa kuwa utatulazimisha upinzani ubadilike kweli, sasa hivi tuna watu wamaonyesho na njia sahihi wamekosa. Na wengine hatuja taka kusema, unajuwa ukikuta chupi ya mama yako imekwisha huwezi kumwambia hata jirani mbali ya kuzoeana sana.Mkuu mimi nauona upinzani kutoka ndani ya CCM iliyo vipande vipande,
Upinzani utachukua nchiMama atatoboa vizuri tu.
😂😂😂😂 eti imejisokota...Andiko lako limejaa ukweli mtupu. Ila Tanganyika au Tanzania tunaangushwa na kutokuwa na tume huru ya uchaguzi pamoja na katiba mbovu. Huko ulikokutaja wanazo TUME HURU ZA UCHAGUZI. Environmental Security
Hapa Ccm imejisokota ktk vyombo vya Dola na vya maamuzi. Wako tayari kuua wananchi wao ili wabaki madarakani .
Naona kama una uelewa vile! ! ! ! !
Mkuu hoja yako imeongeza ufikirishi zaidi maana hata hapa kwetu kuna hiyo kitu japo haijaandikwa popote ila tunajua akitoka wa dini hii anaingia wa dini hii.
Sasa kama ilivyokuwa naijeria imetokea na kwetu. Najua hata timu za dini tofauti zilizokuwa zimeajdaa mtu wao kila timu kwa kufuata utaratibu huo. Zimeathirika sana mipango yao
😂😂😂😂Naona kama una uelewa vile! ! ! ! !
Maswali mengine unauliza huku tayari ukiwa unajua jibu.
Huko kote ulikojitahidi kupaelezea, walikuwepo CCM?
Sasa ya nini upoteze muda mwingi kutafuta jibu lililo wazi.
Ukitaka kuilinganisha Tanzania na nchi hizo, ni lazima utafute njia za kuidhibiti CCM, vinginevyo unapoteza tu muda wako.
Uwepo wa CCM, maana yake ni kwamba hakuna uchaguzi wowote huru unaoweza kufanyika ndani ya nchi hii, na bila ya kuwepo haki kwenye uchaguzi, jibu sahihi ni kwamba CCM hawawezi kutoka madarakani waTanzania watake au wasitake. Maana ya hii ni kwamba, bila wananchi kukataa kura zao zisichezewe, ni CCM pekee ndio wanaoweza kutawala nchi hii. Hakuna wa kuwaondoa.
Hivi bado hujamsoma 'Maza Mizinguo'? Huoni kabisa kwamba amekwishaanza kampeni za kuendelea kuwepo madarakani, akiwa na uhakika huo kwa kujua kwamba mbinu zote zinazotumika miaka yote anazitumia. Angalia vizuri, kama hujamsoma kuhusu hilo.
Faida gani kuendelea kuwa chini ya Ccm . Kama ni umasikini . Basi Tanzania bado ni nchi masikini kabisa duniani.Kwa upinzani utopolo wa akina mbowe????
Kwa taatifa yako CCM haiondoki leo au kesho.
Mitanzania yenyewe hii mioga mioga kama mende?????????
Ndugu Kalamu1, that's one side of the coin of your argument/observation
Lakini on the other side of the coin, wengine waweza kusema tofauti kabisa...
Mfano, mimi naamini kuwa CCM inadhibitika kwa kigezo cha MAJIRA na NYAKATI...
Kwamba, ni kweli kabisa kuwa, wakati mwingine AKILI na UWEZO kwa maana ya mbinu za kawaida za mwanadamu hushindwa kudhibiti na kulitawala jambo fulani...
Lakini wapo waamuzi na wadhibiti wa asili ambao ni MAJIRA (seasons) na NYAKATI (times). Kwamba yakifika majira na nyakati za kitu/jambo/mtu/hali fulani kufukia UKOMO wake, hakuna kinachoweza kuuzuia mwisho huo...
Sasa swali la kujiuliza ni hili, hatudhani kuwa majira na nyakati zimekwisha kufika kwa siasa za kiCCM katika nchi hii kufikia ukomo wake?
Je, ni kweli hatuzioni na kuzitambua dalili au viashiria vya jambo hili kutokea haraka na uoesi sana....?
Mimi naona aisee. Wengine wanasema hakuna chama cha kukipokea CCM kuongoza nchi hii...
Lakini hawa wanashindwa kutambua kuwa huu ni mtazamo na ni fikra za kibinadamu tu ambao siku zote zina mipaka yake...
Hata kama hakuna chama kingine kuchukua dhamana yq kuongoza nchi hii (japo huu ni uongo tu), bado nature inaweza kuamua vinginevyo kwa sababu watu wa nchi hii wanaweza kujitawala hata bila ya uwepo wa chama cha siasa...!!
We call it natural deathNdugu Kalamu1, that's one side of the coin of your argument/observation

Anaweza kuwa moja kati ya marais bora sana kuwahi kutokea AfricaMtiririko wa mapambano ya Hakainde Hichilema (aka HH au Bally) kwa ufupi ulikuwa hivi:
Alipambana na Levy Mwanawasa 2006. Alipokufa Mwanawasa 2008 kwa kiharusi akapambana na Rupiah Banda mwaka huohuo.
Akapambana na Rupiah Banda tena na Michael Satta 2011, akashinda Michael Satta.
Alipokufa Michael Satta, akapambana na Edgar Chagwa Lungu 2015 na kisha 2016. Mara zote hizo tano alishindwa kwa mizengwe mingi, lakini akawa mvumilivu na kuzidi kujenga hoja na kuuza sera mbadala. Amekuja kushinda baada ya kugombea mara ya sita sasa 2021
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Hatoboi.Hello
Mwaka 2010 aliyekuwa Rais wa Nigeria wakati huo hayati Umaru Musa Yar'Adua alifariki akiwa madarakani baada ya kuugua kwa muda mrefu, na kupelekea makamu wake mheshimiwa Goodluck Jonathan, kuongoza nchi hadi ulipofika uchaguzi mkuu ambapo yeye na chama chake tawala waliangushwa na mheshimiwa Buhari, hivyo upinzani ukachukua nchi.
Mwaka 2012, alifariki aliyekuwa Rais wa Ghana mheshimiwa Atta Mills, akiwa madarakani, hivyo kupelekea makamu wake mheshimiwa John Mahama kuongoza nchi hadi ulipofika uchaguzi mkuu ambapo yeye na chama chake tawala waliangushwa na mheshimiwa Nana Akufo Ado ambaye ndiye rais wa sasa wa Ghana hivyo upinzani ukachukua nchi
Mwaka 2012, alifariki aliyekuwa Rais wa Malawi, mheshimiwa Bingu Wamutharika, akiwa madarakani hivyo kupelekea makamu wake mheshimiwa Joyce Banda kuongoza nchi hadi ulipofika uchaguzi mkuu ambapo yeye na chama chake tawala waliangushwa na mheshimiwa Profesa Peter Mutharika, hivyo upinzani ukachukua nchi
Mwaka 2008 , alifariki aliyekuwa Rais wa Zambia mheshimiwa Levy Mwanawasa akiwa madarakani, hivyo kupelekea makamu wake mheshimiwa Rupia Banda kuongoza nchi hadi ulipofika uchaguzi mkuu ambapo yeye na chama chake tawala waliangushwa na mheshimiwa Michael Sata (king cobra), hivyo upinzani ukachukua nchi