Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,146
- 13,216
hawajatembea bong kiundani, hata hapa Rwanda...
Hakuna hata mzuri naona wote mie wanafanana Mkuu Mbuzi Mzee
Hakuna hata mzuri naona wote mie wanafanana Mkuu Mbuzi Mzee
Mbuzi Mzee, sio wa viiile lakini kuna wengine duuuh hawastahili kabisa hasa # 1, #4 and #9. Huyo # 6 kiboko sipati maelezi.
MadameX, hapo kwenye red umenichanganya kidogo.....hivi wewe ni SHE au HE?
Maana....
hizi ndo style zangu asee yani nimekunwa mpaka kisigino