Ni classmate wangu Itope Sec na kwa sasa Africar anafanya kazi Halmashauri ya Mbarali
Africar hawezi hata mtingisa Dr Mwakyembe kura za maoni ndani ya CCM!Mwenye uwezo wa wa kumuondoa Mwakyembe ndani ya CCM ni Ambwene Mwakalinga George tu!
Hata hivyo atakayeshinda upande wa CCM atapata upinzani mkubwa toka CHADEMA
Kwahiyo unapiga debe kwa mwakalinga bila kuja na hoja humu. Acha kutumika Kijana twambie ana mipango gain name Kyela? Usifikiri wanakyela wanakula radio yake ya Kyela FM.
Njoo name hoja humus tuzipime.
Unajua watu kama ninyi ni wa kuonewa huruma kwavile hamjitambui.
Hivi wewe unaweza kupima uwezo wa Africar Kagema kwa uwezo upi ulionao?
Kama Africar angetegemea kura yako nisingemshauri aingie kwenye siasa.
Kaa chini ujipime uwezo wako kwanza kabla ya kutumika Kijana.
Ni classmate wangu Itope Sec na kwa sasa Africar anafanya kazi Halmashauri ya Mbarali
Africar hawezi hata mtingisa Dr Mwakyembe kura za maoni ndani ya CCM!Mwenye uwezo wa wa kumuondoa Mwakyembe ndani ya CCM ni Ambwene Mwakalinga George tu!
Hata hivyo atakayeshinda upande wa CCM atapata upinzani mkubwa toka CHADEMA
Afrika kagema kazaliwa pale kapwili shule ya msingi kwa baba yake marehemu Mzee Tonono MWASONGWE kagema na mke wake kyambiki!!lakini Leo hii Afrika hawezi hata kugombea uwenyekiti wa kijiji kile na akapata kwani hata pale kijini kwao hakuna anaye mkubali kwa lolote!!sasa sijuwi kwa suala la ubunge itakuwaje?Mimi naogopa sana kitu kimoja!watu sijuwi kwa nini huwa hatuambiani ukweli!sasa Mimi naomba niseme tu ukweli kwamba Afrika Tonono Kagema suala la ubunge wewe siyo saizi yako brother pamoja na kuwa ni Haki yako kikatiba lakini ubunge wewe huwezi kwa kifupi hutapata nakushauli wewe uendelee tu na taaluma yako ya Uhasibu amabayo nayo inakushinda lakini kwa kuwa ni kitu umekisomea hakuna anayeweza kukupokonya!ubunge wewe huwezi!!!
Mkuu huyu nilikuwa nae Itope kwa miaka 4!HANA uwezo wowote kiuongozi na namjua sana maana ndiyo sisi tulimpa uongozi Itope ingawaje Mwl Mwakipesile akamvua madaraka!
Huwa nawasiliana nae mara kwa mara lkn siwezi kumpa kura yangu maana hana uwezo
Afrika kagema kazaliwa pale kapwili shule ya msingi kwa baba yake marehemu Mzee Tonono MWASONGWE kagema na mke wake kyambiki!!lakini Leo hii Afrika hawezi hata kugombea uwenyekiti wa kijiji kile na akapata kwani hata pale kijini kwao hakuna anaye mkubali kwa lolote!!sasa sijuwi kwa suala la ubunge itakuwaje?Mimi naogopa sana kitu kimoja!watu sijuwi kwa nini huwa hatuambiani ukweli!sasa Mimi naomba niseme tu ukweli kwamba Afrika Tonono Kagema suala la ubunge wewe siyo saizi yako brother pamoja na kuwa ni Haki yako kikatiba lakini ubunge wewe huwezi kwa kifupi hutapata nakushauli wewe uendelee tu na taaluma yako ya Uhasibu amabayo nayo inakushinda lakini kwa kuwa ni kitu umekisomea hakuna anayeweza kukupokonya!ubunge wewe huwezi!!!
Malafyale, je CHADEMA kuna yeyote aliyejitokeza kwa sasa kugombea atakayeleta upinzani dhidi ya CCM?Ni classmate wangu Itope Sec na kwa sasa Africar anafanya kazi Halmashauri ya Mbarali
Africar hawezi hata mtingisa Dr Mwakyembe kura za maoni ndani ya CCM!Mwenye uwezo wa wa kumuondoa Mwakyembe ndani ya CCM ni Ambwene Mwakalinga George tu!
Hata hivyo atakayeshinda upande wa CCM atapata upinzani mkubwa toka CHADEMA
Malafyale, je CHADEMA kuna yeyote aliyejitokeza kwa sasa kugombea atakayeleta upinzani dhidi ya CCM?
Keisha haribu Mzee wa Richmond.Mwakyembe kafanya kila mtu autake ubunge kyela.Hapo hamna mtu.
Angesema labda Jembe la Kyela Gabb Kipija Mwakalinga.mzee wamsimamo sanaKwahiyo unapiga debe kwa mwakalinga bila kuja na hoja humu. Acha kutumika Kijana twambie ana mipango gain name Kyela? Usifikiri wanakyela wanakula radio yake ya Kyela FM.
Njoo name hoja humus tuzipime.
Ni classmate wangu Itope Sec na kwa sasa Africar anafanya kazi Halmashauri ya Mbarali
Africar hawezi hata mtingisa Dr Mwakyembe kura za maoni ndani ya CCM!Mwenye uwezo wa wa kumuondoa Mwakyembe ndani ya CCM ni Ambwene Mwakalinga George tu!
Hata hivyo atakayeshinda upande wa CCM atapata upinzani mkubwa toka CHADEMA
Africar kaifanyia nn Kyela?Kaifanyia nn Kapwili?Africar hajaonyesha chochote cha kumpa kura hata kijijini kwao Kapwili
Africar nitamshinda kwenye uchaguzi wowote Kyela!Africar atakuwa wa mwisho kura za maoni Kyela kwa CCM na hata akienda CHADEMA
WWW! Wewe mtu wa ajabu sana unakuja humu bila Aibu eti wapiga kula wake wanamuitaji nani anaye muitaji Afrika kagema pale Kyela kaka Acha unafiki huo kama unamuitaji sema wewe unamuitaji tena wana Kyela wakikusikia unaongeahuu upuuzi watakutafuta mpaka wakupate Acha kuleta siasa zakitoto hapa wewe!!hivi kweli Kyela ninayo ijuwa Mimi Leo wamuitaji Afrka this is amazing totally!! Kaka kajipange ndiyo uje tena na hadithi zako za kitoto!!
Kujipigia debe muhimu....View attachment 226089