Hamna kitu humo boya tu hilo anataka kupotezea watu muda tu wa kusoma uchafu wake humu ndani!
Waelewa huelewa, kama wewe unamuona hamna kitu kwani ni mpiga kura wake? Wapiga kura wake wanamuhitaji wewe utaweza kuzuia kweli?
Africar Kagema ni kada wa CCM na atagombea kupitia chama chake hicho na wala hawezi kumuogopa Mwakyembe
Mbona hajaweka wazi Chama chake ana muogopa Mwakyembe nini.
Www.nakuomba nikupe angalizo Dogo sana tatizo watanzania hasa wana CCM mnachukulia kuwa kiongozi ni jambo la mchezo kama vile baba kucheza na watoto wake maana kuwadanganya anaona ni Haki yake wakati siyo haki yake!!sasa nikueleze kitu kimoja Mimi namfahamu sana huyo Afrika Tonono kagema kuliko wewe unavyo mjuwa!suala la Mimi kutokuwa mpiga kula wake unajidanganya nakujisumbua Mimi nukufahamu Mpaka kwao kule kapwili na mama yake kyambiki!na Nina Mashaka unapo sema wapiga kula wake!Afrika ana wapiga kula Acha kumvisha kilemba cha ukoka kaka.huko ni kumdanganya sana na huyo jamaa yako na kama wewe ndiyo mshauli wake sitashangaa maana wewe pamoja na huyo Africa wako uwezo wenu wa kufikili unafanana sana!mshauli huyo afrika aendelee na kibarua chake kule mbalali asije akapoteza muda wake bure kwa vitu ambavyo hana uwezo navyo.
WWW! Wewe mtu wa ajabu sana unakuja humu bila Aibu eti wapiga kula wake wanamuitaji nani anaye muitaji Afrika kagema pale Kyela kaka Acha unafiki huo kama unamuitaji sema wewe unamuitaji tena wana Kyela wakikusikia unaongeahuu upuuzi watakutafuta mpaka wakupate Acha kuleta siasa zakitoto hapa wewe!!hivi kweli Kyela ninayo ijuwa Mimi Leo wamuitaji Afrka this is amazing totally!! Kaka kajipange ndiyo uje tena na hadithi zako za kitoto!!
Hamna kitu humo boya tu hilo anataka kupotezea watu muda tu wa kusoma uchafu wake humu ndani!