ndo mapigo yako haya rafiki?
ha haaa, NOTED rafikiMara moja moja rafiki.
Nimempendaje hasa hayo matuta kiunoni nipo hooooi mm..
hahahhaaa ana pete ya ndoa ujue, sijui nani kaoa huu ugonjwa wa moyo ila kizuri kula na mwenzako bhana
hapa lazima utumie masaa nane kupaka
labda hizo chuwi chuwi unapiga kama muhuri........khaaaa!!......