Kwanini umependelea hii ya African Power? . kuna powerBanks zenye ubora pia. Labda ungeuliza ni PowerBank ipi Bora kulingana na bajeti yako. Kwa mimi ninatumia powerBank ya PISEN , ambayo ni 10,000mAh imeniridhisha kiutendaji. Kuna powerbanks zingine pia za TECNO, INTEX, ZTOSS, CLIPTEC, SAMSUNG,PHILLIPS etc etc.