African beauty

Hivi nyie jamaa acheni kuwafanya watu ambao hawajafika Rwanda wadhani na kuamini
kuwa wadada wote wa Rwanda wako ivo kumbe hata kule kuna wagagagigikoko kama bongo! Hao mnaotunesha ni wale waliochaguliwa tu kwa muonekano wao lkn si wote wako ivo, hata bongo tukiamua tuanze kuchagua totoz za ukweli halafu tukazitupia mtandaoni kwa mtu ambae hajafika bongo anaweza dhani wadada wetu wote wako ivo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuwa wadada wote wa Rwanda wako ivo kumbe hata kule kuna wagagagigikoko kama bongo!
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
100 likes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wazuri ,mm nimefika .huwezi linganisha na wanawake wa Tz
 
Sasa ukifika Kigali ,hao ni taka taka kbs

[emoji767]101-03-821.M|T|C
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…