Nchi kama rwanda wanafanyia kazi haraka different opinions kuhusu cost of doing business. Lakini kwetu watu.wanasubiri kuzindua sera wavae suti wale wanywe mlimani city
Tunawachangia wenye nyadhifa waishi lavish life na wapambe wao huku Watanzania masikini huo kazuramimba, nanyamba, kitele, sangamwalugesha wakiishi maisha ya hovyo na umasikini mkubwa.
Nimebidi nichome bando kweli jamaa kachoma nyumba ila Bibi Nyau vitu km hivi hana time navyo kabisa na huu uzi watu wanaupita km wanaaga maiti huku wanatematema mate km wana mimba ya panya
Tunawachangia wenye nyadhifa waishi lavish life na wapambe wao huku Watanzania masikini huo kazuramimba, nanyamba, kitele, sangamwalugesha wakiishi maisha ya hovyo na umasikini mkubwa.