Africa was not ready for 2010 world cup


Timu za Rugby na Cricket za Sauz ni world class!Wameanza kuwa na waafrika.
Naamini hata mpira wa Sauz usiwe wa blacks ,uwe wa rangi zote.
Naona weusi hatuko professional ,tunapenda ubishoo wa nywele tu kwenye spoti,rasta,kusuka etc.
Mwafrika ukisuka nywele unataka attention!
 

Nimependa hii, watu wengi hawajui kila kitu unachofanya lazima kinagusa Nguvu za uchumi, Siasa na Mambo ya kijamii. Vitu hivi vikiwa vibovu basi usitegemee good results - na hii ndiyo results tulizopata kombe la dunia. nchi nyingi za africa zina matatizo sana katika uongozi wa mpira wa miguu. vyama vya soka vya kiafrica vinakuwa na mikono ya kisiasa, maamuzi mengi ni ya kisiasa zaidi kuliko kiufundi, tatizo hili ndiyo adui wa kwanza wa soka.
 

Good comment Jafar. Nimependa hii --- inawezekana ukafikiri kizungu then maamuzi yakawa ya kiafrica?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…