Gangi Longa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2010
- 275
- 135
The Deputy Vice-Chancellor (Academics) at the UDSM, Prof Makenya Maboko, said today that the web based ranking of the universities does not consider the quality of education that a university offers.
Does UDSM offer quality education? I beg to differ...."numbers" are valued than quality.
Kimsingi hali ya kielimu ya UDSM kwa sasa si nzuri.
Mimi sijasomea udsm, ilinilazimu kwenda kenya kusoma kwani mwanzoni mwa miaka ya tisini UDSM ilikuwa na migomo kila term, iliniboa sana.
Huyo VC kama anadhani UDSm ina ubora nampa pole, hata hiyo nafsi ya 3 imependelewa sana. To me wangepewa hata Bugema University ya Uganda. UDSM inastahili nafasi ya mwisho ndani ya TZ, East Africa na hata katika Africa.
UDSM wajiangalie na wajipange upya hii ni changamoto kwao. Lectures na mfumo wa ufundishaji na usahihishaji na pass mark zao (ranking zao za chuki)...mhhh!!!!!
Wamejitengenezea mazingira ya kudhalilishwa wao wenyewe. Ikiwa kupata 1st class ni issue, VC anategemea watu au wazazi watembelee website ya UDSM? he must be out of his mind.
Damn them !!!!!

Japo sijui vigezo vanavyotumia, UDSM kama walijifikiria wamesimama, waangalie wasianguke. There must be something wrong somewhere, somehow with UDSM ambao utawala unataka kujitia kichwa ngumu.
Mimi natolea mfano Kitivo cha Sheria, walimu wanawabania wanafunzi mpaka basi, japo sina data za uhakika, ila ni miaka 20 sasa imepita kitivo hicho kikitoa 1st Class 3 tuu za LL.B, nadhani ya mwisho kabisa ni ya Dr. Majamba mwanzoni mwa 90.
Mimi siamini kabisa katika miaka yote hiyo ishirini, hakuna Mtanzania aliyeweza kupata 1st Class ya Sheria, wapo ila wanabaniwa, as a result, ukiambiwa kitivo hakijatoa distinction miaka 20, utalaumu wanafunzi kuwa ni vibonde au na chuo pia kinashuka uwezo.
Wakati UD wanabania, Mzumbe na Tumaini wao wanatoa 1st za kumwaga kwenye LL.B. Wao wanasoma miaka 3 tuu, UD ilikuwa 4, sasa ni 5!. Kuna kabinti kalitinga LL.M pale UD na 1st ya kati ya Mzumbe au Tumaini, kusema ukweli kalinyanyasika, walimu walikawekea bifu kama UD wanashindwa kutoa 1st, basi hizo 1st za Mzumbe na Tumaini wanazifananisha na Pass!.
Ndio maana nasema, UD ilikuwa zamani, kuna uwezekano imeshuka na hiyo ranking ndiyo hali halisi iliyopo na labda on its way to sinking more and more!.
Wakati UD wanabania, Mzumbe na Tumaini wao wanatoa 1st za kumwaga kwenye LL.B. Wao wanasoma miaka 3 tuu, UD ilikuwa 4, sasa ni 5!. Kuna kabinti kalitinga LL.M pale UD na 1st ya kati ya Mzumbe au Tumaini, kusema ukweli kalinyanyasika, walimu walikawekea bifu kama UD wanashindwa kutoa 1st, basi hizo 1st za Mzumbe na Tumaini wanazifananisha na Pass!.QUOTE]
Ila mkuu hizi first class za vyuo vya mzumbe,tumaini na vinginevyo hata mimi hua nazishangaa sana. Umewahi kweli kuinteract na hao wenye first class toka hivyo vyuo ukaona? Ni afadhali hao UD wanaobania first class kuliko wenzetu wanaopata hizo first class kiulaini kama division one za secondary. Kila mtu eti ana first class utafikiri division one za shule ya secondary ya st.Francis mbeya?
du mbona una hasira sana walikudisco nini?
kwa kweli chuo kimeharibiwa na siasa, chuo kiko too political
Halafu wamewekea VC mwanasiasa basi ndio chuo kinakwenda mrama zaidi!
Mimi sijasomea udsm, ilinilazimu kwenda kenya kusoma kwani mwanzoni mwa miaka ya tisini UDSM ilikuwa na migomo kila term, iliniboa sana.
Wamejitengenezea mazingira ya kudhalilishwa wao wenyewe. Ikiwa kupata 1st class ni issue, VC anategemea watu au wazazi watembelee website ya UDSM? he must be out of his mind.
QUOTE]
Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake. Hukusoma UDSM kwa hiyo ubora wa elimu yake huwezi kujua wala kujustify ubora wake. Ningekushauri fanya utafiti vizuri ujue ubora wa elimu inayotolewa UDSM.
Kupata first class ni lazima mwanafuunzi aonyeshe bidii. First class au degree class yeyote haitolewi bure ni juhudi ya mwanafunzi mwenyewe.

Nieleze ina ubora gani? kama unajua kunguni waliomo ndani ya kitanda chake kuliko watz wengi wanaokipigia kelele kwa sasa.
Nina fanya kazi na graduates wa UDSM na wa vyuo vingine vya east africa, latest graduates wa UDSM hawaandaliwi vyema, building arguments, analysing issues.....mhhhh, na wewe ni mmoja wao.
all you look ni kufaulu mitihani tu at any cost na kupata certifications. mkipambanishwa na wa vyuo vingine....majibu yake unayo. mradi mnaajiriwa tu humu nchini. Employer mmoja said if there is two positions na wakawepo applicants wengi and among them just two from other colleges in TZ and the rest ni UDSM, he will just pick the two straight.

Mhhh
Mimi nikisema naambiwa nina chuki binafsi.
Ukweli tunasema si kwa sababu nyingine bali mfumo wa chuo wakubwa wauangalie upya. Tunapokuwa na cambridge yetu yani udsm na harafu wakawa wanafanya kama inavyofanya hii hali inapelekea hali tete ktk mustakbali wa uchumi wa nchi yetu.
Umasikini wetu una toka mbali sana na bila kurekebisha huko ktk mizizi na kutafuta majibu rahisi tutapoteza tena karne nyingine.
Nieleze ina ubora gani? kama unajua kunguni waliomo ndani ya kitanda chake kuliko watz wengi wanaokipigia kelele kwa sasa.
Nina fanya kazi na graduates wa UDSM na wa vyuo vingine vya east africa, latest graduates wa UDSM hawaandaliwi vyema, building arguments, analysing issues.....mhhhh, na wewe ni mmoja wao.
all you look ni kufaulu mitihani tu at any cost na kupata certifications. mkipambanishwa na wa vyuo vingine....majibu yake unayo. mradi mnaajiriwa tu humu nchini. Employer mmoja said if there is two positions na wakawepo applicants wengi and among them just two from other colleges in TZ and the rest ni UDSM, he will just pick the two straight.
Huyo employer atakua mbabaishaji na hajui principles za recruitment. Yaani kama anataka graduate wa Law atabeba poorly cooked graduate wa Mzumbe na kumwacha well baked graduate wa UDSM just because of where they went to school? Nafikiri the best approach ni kumchukua mtu kwa kuangalia merits(papers + how he responds to the interview questions) na sio kubeba tu mtu eti kwa vile hajasoma UDSM, that is nonsensical!