Africa varsity ranking irks UDSM don

Gangi Longa

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
275
135
Africa varsity ranking irks UDSM don
THE University of Dar es Salaam (UDSM) has differed with the ranking of the Web of World Universities which has placed the Tanzanian university in the 24th slot out of 100 institutions in Africa.

The university has been ranked Number Three in East Africa after Makerere University of Uganda and Strathmore University of Nairobi in Kenya.

Makerere University, which is in the city of Kampala, has been ranked 15th out of 100 universities in the continent and Strathmore University of Nairobi has taken slot number 22.

The Deputy Vice-Chancellor (Academics) at the UDSM, Prof Makenya Maboko, said today that the web based ranking of the universities does not consider the quality of education that a university offers.

He said that what is considered is the number of times people have visited university websites.

"The web based ranking of universities reflects the popularity of the university's website but they don't look at the quality of education, students or lecturers in that particular university," Prof. Maboko said.

He said that in East and Central Africa, UDSM was leading in terms of providing quality education as well as employing qualified lecturers -- most of them with PhDs.

This, he said is reflected in the diversity of programmes offered by the university and the number of international links the university of Dar es Salaam has with other universities.

"Last year, we signed more than ten new contracts with foreign universities. This reflects the quality of education we provide here," he noted.

He said that UDSM receives many students from neighbouring countries despite the higher costs of education compared to the rates at Makerere which was ranked number 15 on the continent and first in East Africa.

Strathmore University of Nairobi, which was ranked 22nd on the continent and second in the East African Community (EAC) is a small university with less than 10 programmes compared to UDSM.

"The University of Dar es Salaam is considered as one of the leading universities in Africa. This means we provide good education and we should not be deterred by web based rankings which do not look at quality but web popularity," he noted.

Sokoine University of Agriculture was ranked number 82 out of 100 universities in Africa.

Numbers one to eight have been taken by South African universities. These include the University of Cape Town, the University of Pretoria and Stellenbosch University.
http://www.dailynews.co.tz/home/?n=7713&cat=home
 
Can you also post the methodology that they use in ranking our universities in africa?
 
The Deputy Vice-Chancellor (Academics) at the UDSM, Prof Makenya Maboko, said today that the web based ranking of the universities does not consider the quality of education that a university offers.

Does UDSM offer quality education? I beg to differ...."numbers" are valued than quality.
 
Japo sijui vigezo vanavyotumia, UDSM kama walijifikiria wamesimama, waangalie wasianguke. There must be something wrong somewhere, somehow with UDSM ambao utawala unataka kujitia kichwa ngumu.

Mimi natolea mfano Kitivo cha Sheria, walimu wanawabania wanafunzi mpaka basi, japo sina data za uhakika, ila ni miaka 20 sasa imepita kitivo hicho kikitoa 1st Class 3 tuu za LL.B, nadhani ya mwisho kabisa ni ya Dr. Majamba mwanzoni mwa 90.

Mimi siamini kabisa katika miaka yote hiyo ishirini, hakuna Mtanzania aliyeweza kupata 1st Class ya Sheria, wapo ila wanabaniwa, as a result, ukiambiwa kitivo hakijatoa distinction miaka 20, utalaumu wanafunzi kuwa ni vibonde au na chuo pia kinashuka uwezo.

Wakati UD wanabania, Mzumbe na Tumaini wao wanatoa 1st za kumwaga kwenye LL.B. Wao wanasoma miaka 3 tuu, UD ilikuwa 4, sasa ni 5!. Kuna kabinti kalitinga LL.M pale UD na 1st ya kati ya Mzumbe au Tumaini, kusema ukweli kalinyanyasika, walimu walikawekea bifu kama UD wanashindwa kutoa 1st, basi hizo 1st za Mzumbe na Tumaini wanazifananisha na Pass!.

Ndio maana nasema, UD ilikuwa zamani, kuna uwezekano imeshuka na hiyo ranking ndiyo hali halisi iliyopo na labda on its way to sinking more and more!.
 
Kimsingi hali ya kielimu ya UDSM kwa sasa si nzuri.

In many ways I agree with you. kuna uozo ukitaka kuutaoika hapa unaweza ukaumia kichwa, ila mtu akitaka kujua wataalamu na wasomi wanaifanyia nini nchi hii, aende kwenye haya mavyuo, majungu tupu!
 
Mimi sijasomea udsm, ilinilazimu kwenda kenya kusoma kwani mwanzoni mwa miaka ya tisini UDSM ilikuwa na migomo kila term, iliniboa sana.

Huyo VC kama anadhani UDSm ina ubora nampa pole, hata hiyo nafsi ya 3 imependelewa sana. To me wangepewa hata Bugema University ya Uganda. UDSM inastahili nafasi ya mwisho ndani ya TZ, East Africa na hata katika Africa.

UDSM wajiangalie na wajipange upya hii ni changamoto kwao. Lectures na mfumo wa ufundishaji na usahihishaji na pass mark zao (ranking zao za chuki)...mhhh!!!!!
Wamejitengenezea mazingira ya kudhalilishwa wao wenyewe. Ikiwa kupata 1st class ni issue, VC anategemea watu au wazazi watembelee website ya UDSM? he must be out of his mind.

Damn them !!!!!
 
Halafu wamewekea VC mwanasiasa basi ndio chuo kinakwenda mrama zaidi!
 
du mbona una hasira sana walikudisco nini?
kwa kweli chuo kimeharibiwa na siasa, chuo kiko too political
 
Japo sijui vigezo vanavyotumia, UDSM kama walijifikiria wamesimama, waangalie wasianguke. There must be something wrong somewhere, somehow with UDSM ambao utawala unataka kujitia kichwa ngumu.

Mimi natolea mfano Kitivo cha Sheria, walimu wanawabania wanafunzi mpaka basi, japo sina data za uhakika, ila ni miaka 20 sasa imepita kitivo hicho kikitoa 1st Class 3 tuu za LL.B, nadhani ya mwisho kabisa ni ya Dr. Majamba mwanzoni mwa 90.

Mimi siamini kabisa katika miaka yote hiyo ishirini, hakuna Mtanzania aliyeweza kupata 1st Class ya Sheria, wapo ila wanabaniwa, as a result, ukiambiwa kitivo hakijatoa distinction miaka 20, utalaumu wanafunzi kuwa ni vibonde au na chuo pia kinashuka uwezo.

Wakati UD wanabania, Mzumbe na Tumaini wao wanatoa 1st za kumwaga kwenye LL.B. Wao wanasoma miaka 3 tuu, UD ilikuwa 4, sasa ni 5!. Kuna kabinti kalitinga LL.M pale UD na 1st ya kati ya Mzumbe au Tumaini, kusema ukweli kalinyanyasika, walimu walikawekea bifu kama UD wanashindwa kutoa 1st, basi hizo 1st za Mzumbe na Tumaini wanazifananisha na Pass!.

Ndio maana nasema, UD ilikuwa zamani, kuna uwezekano imeshuka na hiyo ranking ndiyo hali halisi iliyopo na labda on its way to sinking more and more!.

Pasco!
Elimu yetu ni ya kukomoana sana mkubwa, sijui lili tutabalika, it's a pyramid kind of education, yaani mnaanza wengiiiiii halafu wanamaliza wachacheeee, then hapo Mwl anajiona KIDUME!...That's foolishness, ktk Tz ya leo yenye wasomi kiduchu, tunahitaji Open up square model, yaani at least kati ya wanaoanza, 95% at least wawe wanamaliza. Elimu isiwe kukomoana bali kusaidiana, nadhani walioanza na kutoa mitihani ya kuwardisha nyuma form two waliona mbali kdg.
 
Wakati UD wanabania, Mzumbe na Tumaini wao wanatoa 1st za kumwaga kwenye LL.B. Wao wanasoma miaka 3 tuu, UD ilikuwa 4, sasa ni 5!. Kuna kabinti kalitinga LL.M pale UD na 1st ya kati ya Mzumbe au Tumaini, kusema ukweli kalinyanyasika, walimu walikawekea bifu kama UD wanashindwa kutoa 1st, basi hizo 1st za Mzumbe na Tumaini wanazifananisha na Pass!.QUOTE]

Ila mkuu hizi first class za vyuo vya mzumbe,tumaini na vinginevyo hata mimi hua nazishangaa sana. Umewahi kweli kuinteract na hao wenye first class toka hivyo vyuo ukaona? Ni afadhali hao UD wanaobania first class kuliko wenzetu wanaopata hizo first class kiulaini kama division one za secondary. Kila mtu eti ana first class utafikiri division one za shule ya secondary ya st.Francis mbeya?
 
du mbona una hasira sana walikudisco nini?
kwa kweli chuo kimeharibiwa na siasa, chuo kiko too political

sio siasa tu mkuu, kuna mambo ya kikubwa pale we acha tu, 90% ya madegree ya mademu pale hasaa wenye 1st, uper 2nd na lower 2nd classes ni "pornographical degrees" na 50% ya madegree ya madume ni entrepreneural degrees............ we acha tu........... mnona hata hiyo nafasi ya 25 mi naona wamewapendelea??????????????? na migomo yote ile ya kila siku, walau wangekuwa ya 259 labda ingeleta maana kidogo!!....................
 
Halafu wamewekea VC mwanasiasa basi ndio chuo kinakwenda mrama zaidi!

Chuo lazima kiende mrama na kitaendelea kuharibika ikiwa mwanasiasa ataendelea kuwa VC.

Because Politician don't know what they are supposed to do, as THEY DON'T HAVE ANY FORMULA IN THEIR HEAD.

Damn them!!!!!!!!!!!
 
Mimi sijasomea udsm, ilinilazimu kwenda kenya kusoma kwani mwanzoni mwa miaka ya tisini UDSM ilikuwa na migomo kila term, iliniboa sana.
Wamejitengenezea mazingira ya kudhalilishwa wao wenyewe. Ikiwa kupata 1st class ni issue, VC anategemea watu au wazazi watembelee website ya UDSM? he must be out of his mind.
QUOTE]
Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake. Hukusoma UDSM kwa hiyo ubora wa elimu yake huwezi kujua wala kujustify ubora wake. Ningekushauri fanya utafiti vizuri ujue ubora wa elimu inayotolewa UDSM.
Kupata first class ni lazima mwanafuunzi aonyeshe bidii. First class au degree class yeyote haitolewi bure ni juhudi ya mwanafunzi mwenyewe.
 
du mbona una hasira sana walikudisco nini?
kwa kweli chuo kimeharibiwa na siasa, chuo kiko too political

Kituko, nimesema sikusomea hapo. but kama mtz hali ya hiki chUo inakatisha tamaa sana. You expect it to be a think tank ya nchi kama ilivyo kwa cambridge au oxford IN UK. Lakini hiki chetu ni kama chuo cha VETA VETA hivi. Bora hata VETA maana ukitoka VETA unaweza hata kuchonga meza, lakini UDSM...?????? MABADILIKO YANAHITAJIKA HARAKA SANA
 
Mimi sijasomea udsm, ilinilazimu kwenda kenya kusoma kwani mwanzoni mwa miaka ya tisini UDSM ilikuwa na migomo kila term, iliniboa sana.
Wamejitengenezea mazingira ya kudhalilishwa wao wenyewe. Ikiwa kupata 1st class ni issue, VC anategemea watu au wazazi watembelee website ya UDSM? he must be out of his mind.
QUOTE]
Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake. Hukusoma UDSM kwa hiyo ubora wa elimu yake huwezi kujua wala kujustify ubora wake. Ningekushauri fanya utafiti vizuri ujue ubora wa elimu inayotolewa UDSM.
Kupata first class ni lazima mwanafuunzi aonyeshe bidii. First class au degree class yeyote haitolewi bure ni juhudi ya mwanafunzi mwenyewe.

Nieleze ina ubora gani? kama unajua kunguni waliomo ndani ya kitanda chake kuliko watz wengi wanaokipigia kelele kwa sasa.
Nina fanya kazi na graduates wa UDSM na wa vyuo vingine vya east africa, latest graduates wa UDSM hawaandaliwi vyema, building arguments, analysing issues.....mhhhh, na wewe ni mmoja wao.

all you look ni kufaulu mitihani tu at any cost na kupata certifications. mkipambanishwa na wa vyuo vingine....majibu yake unayo. mradi mnaajiriwa tu humu nchini. Employer mmoja said if there is two positions na wakawepo applicants wengi and among them just two from other colleges in TZ and the rest ni UDSM, he will just pick the two straight.
 
Mhhh

Mimi nikisema naambiwa nina chuki binafsi.

Ukweli tunasema si kwa sababu nyingine bali mfumo wa chuo wakubwa wauangalie upya. Tunapokuwa na cambridge yetu yani udsm na harafu wakawa wanafanya kama inavyofanya hii hali inapelekea hali tete ktk mustakbali wa uchumi wa nchi yetu.

Umasikini wetu una toka mbali sana na bila kurekebisha huko ktk mizizi na kutafuta majibu rahisi tutapoteza tena karne nyingine.
 
Nieleze ina ubora gani? kama unajua kunguni waliomo ndani ya kitanda chake kuliko watz wengi wanaokipigia kelele kwa sasa.
Nina fanya kazi na graduates wa UDSM na wa vyuo vingine vya east africa, latest graduates wa UDSM hawaandaliwi vyema, building arguments, analysing issues.....mhhhh, na wewe ni mmoja wao.

all you look ni kufaulu mitihani tu at any cost na kupata certifications. mkipambanishwa na wa vyuo vingine....majibu yake unayo. mradi mnaajiriwa tu humu nchini. Employer mmoja said if there is two positions na wakawepo applicants wengi and among them just two from other colleges in TZ and the rest ni UDSM, he will just pick the two straight.

Huyo employer atakua mbabaishaji na hajui principles za recruitment. Yaani kama anataka graduate wa Law atabeba poorly cooked graduate wa Mzumbe na kumwacha well baked graduate wa UDSM just because of where they went to school? Nafikiri the best approach ni kumchukua mtu kwa kuangalia merits(papers + how he responds to the interview questions) na sio kubeba tu mtu eti kwa vile hajasoma UDSM, that is nonsensical!
 
Nimepita UDSM awhile ago, nakumbuka prof mmoja wa hesabu ambaye alipata PhD yake baada ya kufundisha kwa miaka mingi tu akawa anajiita Prof.Dr. Ralph Masenge alinifundisha hesabu enzi hizo FoE. Huyu mwanazuoni alikuwa akitoa test anatoa karatasi 25 tu wakati Lecture theater imejaa wanafunzi zaidi ya 120 anasema darasa lake huwa halizidi wanafunzi 25 wengine wasindikizaji tu hivyo kama umekosa karatasi tumia ya kwako mwenyewe.
Yaani ilikuwa kaazi kweli kweli, polepole tutafika tu.
 
credible university ranking places udsm 1st in east africa and 10th in africa, iyo ranking ya kupiga kura ni nonsense! please visit 4icu.org.
vigezo vya ubora wa chuo ni
1. staff qualifications
2. staff universities they went for their masters.phd, researches etc
3. Level of certificate forgeability
4. buildings
5. i.e square inch
6. colleges and quality
7. standard of education
8. employee appeal
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom