Africa: Top 25 Military Spending Countries

This criterion is not enough to show the strength or weakness of the army.

Kama lyimo alivyosema ni kweli, criteria mojawapo ya strength ya army inaweza kuwa ni population, mathalani marekani pamoja na kuwa na jeshi lenye vifaa vizuri na high tech moja ya sababu wanayowaogopa uchina ni issue ya uwingi wa wanajeshi wa uchina, population factor inastate kwamba wamarekani wakiingia vitani na uchina basi kila mwanajeshi mmoja wa marekani itabidi awakabili wanajeshi wanane wa kichina. Sasa pima kati ya tanzania na malawi...ha ha ha ha ha.....
 
Back
Top Bottom