Africa na Demokrasi

Abu Hamdy

Member
Jun 27, 2016
29
17
Nimefanya utafiti nimeona nchi ambazo zimetawaliwa kwa mkono wa chuma kama Algeria,Ethiopia,Eritrea na Rwanda zimepiga hatua kubwa kiuchumi. Hapa Tanzania kwa mtindo wa utawala wa Rais Magufuli kuna matarajio makubwa kwa hali yetu ya uchumi ikawa nzuri pia, sasa nimeelewa maana ya kauli mbiu yake ya HAPA KAZI TU Watanzania tuamke tufanye kazi tuache uvivu na kutafuta easy money.
Hivi vyama Uchwara viache kupotosha wananchi kama wanania njema na Tanzania wamuunge mkono Rais Magufuli kwa maendeleo ya Tanzania hatutaki siasa ya Reality Show.
 
Back
Top Bottom