Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,824
- 24,481
G7 na kikundi cha nchi zinazjiita zenye viwanda sana, ingawa kwa leo madai hayo siyo sahihi sana kwani India, China na Brazili pia zina viwanda sana. Kikundi hiki kianza mwaka 1974 wakati wa mgogor wa mafuta. baadaye mwaka 1998, Bill Clinton Tonny Blair wakamkaribisha Boris yelstin wa Russia kujiunga na kikundi hicho ingawa uchumi wa Russia haukuwa wa juu kulingana na wanachama wengine, na hivyo kubadili jina kuwa G8. Kutokana na Russia kukamata kwa nguvu peninsula ya Crimea mwaka 2014, ilifukuzwa kutoka kwenye kundi hilo na kurudia kuwa G7.
katika miaka 45 ya uhai wa kikundi hicho, viongozi wa nchi hizo hukuna mara moja kwa mwaka kwenye mkutanoa wanaouita G8 Summit/G7 Summit. Kuanzia mwaka 2002,viongozi hao G8/G7 hualika viongozi wa nchi nyingine ambazo siyo wanachama wa G7 ama kama invited guests au limited invited guests. Katika kipindi hicho cha miaka 16, kwa afrika nchi zilzowahi kualikwa ni kama ifuatavyo:
South Africa (12), Senegal (10), Nigeria (8),Ethiopia(7), Algeria (6), Egypt(5),Kenya (2),Ghana(2), Rwanda (2), Uganda (1), Tanzania(1), Liberia(1), Libya(1), Angola(1), Malawi (1), Tunisia(1), Guinea(1), Niger(1), Seychells(1), Chad(1).
Mwaka 2016 ni Chad tu ndiyo iliyokaribishwa wakati mwaka 2006 ni SA tu ndiyo iliyokaribishwa.
Je frequency ya kuhudhuria mikutano hiyo ni proportional na viwanda ndani ya nchi husika? Naona South Afrika iko kama member kwa sababu wamekosa mituno hiyo michache sana, Tanzania ilihudhuria mkutano wa mwaka 2008 huko Japan kama Limited Guest Invitee, siyo invited Guest.
Tukomae zaidi na viwanda ili nasi tuheshimike kwenye kikundi hicho?