Afisa wa NIDA na Watanzania Hii ni sawa?

Kijana mbona nimekuelekeza vizuri tu na ukasema umenielewa!!, leo umekuja kunishitaki huku kwa faida gani sasa?
 
Bro me siku ya kwnz tu nilimpa mkono i hope hapo utakuw umenielew kuanzia hapo mpk form kajaza yeye majina yang kamili n kumalz kila kitu.

Na kitambulsho nilipata after two weeks.
 
Mimi nilibahatika kupata namba nikaanza kufuatilia kadi mwisho nikaambiwa kadi zitatumwa kwa ofisi ya mtendaji, nikaanza kufuatilia hakuna nikaambiwa huwa zinaletwa kwa alfabet basi kila nikienda hakuna alfabet yangu zinapokuja simo nashangaa wengine wanaandikwa mara 2 2 wanachukua vitambulisho viwili mimi hata kimoja sipati, nikachoka na siendi tena labda wanipigie simu.
 
Kuwa mpole tu utatumiwa sms... Mi wamenitumia baada ya miaka miwili, nikakifata ofisi ya kata.
 
ni cheti cha darasa la saba Kina majina tofauti na niliyo jisajili nayo Nida je watakubali maana nahofia nisije anza huo mchakato wa kukitafuta niwaletee aseme tena hiki ni tofauti
Hayo majina rudi kwa mwanasheria uliko yasajili majina yako kwenye Deep poll yaongezee na hayo yaliyopo kwenye hicho cheti cha darasa la saba yasomeke pia kama ni majina yako lakini kwa sasa huyatumii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom