Afisa wa jeshi(Magereza) inakuaje unapanda mishikaki kwenye Bodaboda?

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Kama mada inavyojieleza

Imenishangaza sana na kunifanya nijiulize Mara 2 2 tatizo nini

Nimekaa zangu hapa home nje karibu na road

Ghafla naona pikipiki inapita taratibu ile kuchek fresh namwona mmama askari Magereza bila shaka ni afisa wa jeshi hilo kwa sababu begani ana cheo cha ngao ya taifa kapanda boda boda mishikaki

Hivi jeshi la magereza linashindwa kuwa na magari kwa ajili ya kuwasafirisha maafisa wao kama ilivyo kwa majeshi mengine

Kupanda mishikaki ni kujiweka katika hatari ya kupata ajali na pia ni kuvunja sheria za usalama barabarani.

Nawasilisha
 
Alishawahi kuniambia rafiki yangu mmoja yupo huko kuwa toka awamu hii ianze watu wanapandishwa rank tu( V au *) bila ya mshahara kupanda. Basi hili linawatia hasira askari wengi kwasababu kwa cheo alichokua nacho ni aibu kupanda daladala lakini ukiangalia mfukoni hela hana atafanyaje?
So kwa hilo sishangai sana.
 
Afadhali hujampiga picha umeonyesha ukomavu ukalileta kama hoja / issue na sio kujadili watu bali hoja we kweli ni jf mwenye uelewa wa ki great thinker
 
Mishahara yenyewe midogo na imedumaa sasa kwanini asipande bodaboda.
 
Kama mada inavyojieleza

Imenishangaza sana na kunifanya nijiulize Mara 2 2 tatizo nini

Nimekaa zangu hapa home nje karibu na road

Ghafla naona pikipiki inapita taratibu ile kuchek fresh namwona mmama askari Magereza bila shaka ni afisa wa jeshi hilo kwa sababu begani ana cheo cha ngao ya taifa kapanda boda boda mishikaki

Hivi jeshi la magereza linashindwa kuwa na magari kwa ajili ya kuwasafirisha maafisa wao kama ilivyo kwa majeshi mengine

Kupanda mishikaki ni kujiweka katika hatari ya kupata ajali na pia ni kuvunja sheria za usalama barabarani.

Nawasilisha
Ushasema ni kamanda,unajuaje kama huyu aliyepanda naye ni mfungwa na hatakiwi kuachwa apande pikipiki tofauti sababu anaweza kutoroka.
 
Kama mada inavyojieleza
Imenishangaza sana na kunifanya nijiulize Mara 2 2 tatizo nini
Nimekaa zangu hapa home nje karibu na road
Ghafla naona pikipiki inapita taratibu ile kuchek fresh namwona mmama askari Magereza bila shaka ni afisa wa jeshi hilo kwa sababu begani ana cheo cha ngao ya taifa kapanda boda boda mishikaki
Hivi jeshi la magereza linashindwa kuwa na magari kwa ajili ya kuwasafirisha maafisa wao kama ilivyo kwa majeshi mengine
Kupanda mishikaki ni kujiweka katika hatari ya kupata ajali na pia ni kuvunja sheria za usalama barabarani.
Nawasilisha
Mshikaki nyama mbili dereva na abiria wake, mshikaki wa kawaida dereva, mke na mme, na mshikaki uliotukuka wa kokobichi dereva, mke, mme na shemeji, sasa huyu ulikuwa upi maana haujasema walikuwa wangapi.
 
Jf hoyeeeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom