Afisa Utumishi Ilemela ni kero

Afisa Utumishi Ilemela ni kero

BINARY NO

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2011
Posts
2,154
Reaction score
2,167
Inashangaza kuona ofisi nyeti ambayo inahudumia watumishi wote limekua ni danguro la wapuuzi ambao hawajui ile ofisi sio sehemu ya kusukana nywele bali ni ofisi ya kutolea huduma kwa watumishi UTUMISHI Ilemela hii ofisi imejaa wanawake tu ambao ni wanne ofisi moja ambapo majibu yao na kauli zao ni mbovu mno.

Costomer care ni zero yani huwez jua afisa utumishi ni nani kwani ukiingia pale ofisini utawakuta wanaangalia movie kwenye computer na hawakusikilizi. Nina heshimu wanawake lakini wanaojitambua mmepewa ofisi basi hudumieni watumishi na wala hakuna mwenye shida na kazi yenu.

Mkurugenzi Ilemela tafadhali ondoa mara moja watu ambao hawapaswi kukaa katika ofisi hiyo ili tuweze kujua Afisa UTUMISHI ni nani na mtu uwe huru kusikilizwa na kujieleza.

Mwisho nyie madada mnajijua jinsi mlivyo kero na watumishi wa ilemela jinsi mnavyowakwaza.

Next time mnatandikiwa umoumo
 
Yote hii ni sababu ya kutokujitambua na kusahau tulikotoka!!,but Meseji imewafikia wahusika.
 
Inashangaza kuona ofisi nyeti ambayo inahudumia watumishi wote limekua ni danguro la wapuuzi ambao hawajui ile ofisi sio sehemu ya kusukana nywele bali ni ofisi ya kutolea huduma kwa watumishi UTUMISHI Ilemela hii ofisi imejaa wanawake tu ambao ni wanne ofisi moja ambapo majibu yao na kauli zao ni mbovu mno.

Costomer care ni zero yani huwez jua afisa utumishi ni nani kwani ukiingia pale ofisini utawakuta wanaangalia movie kwenye computer na hawakusikilizi. Nina heshimu wanawake lakini wanaojitambua mmepewa ofisi basi hudumieni watumishi na wala hakuna mwenye shida na kazi yenu.

Mkurugenzi Ilemela tafadhali ondoa mara moja watu ambao hawapaswi kukaa katika ofisi hiyo ili tuweze kujua Afisa UTUMISHI ni nani na mtu uwe huru kusikilizwa na kujieleza.

Mwisho nyie madada mnajijua jinsi mlivyo kero na watumishi wa ilemela jinsi mnavyowakwaza.

Next time mnatandikiwa umoumo

Afisa utumishi wa Ilemela anaitwa Songoma alikua pale halmashaur ya jiji la Mwanza anapenda naniii........hyo afisa utumishi
 
Msimsingizie huyo Songoma acheni majungu. Huyo alishamishwa siku nyingi sana yuko Iramba.
 
Hawa waliajiriwa na Songoma interview ilikuwa inafanyika corner bar pale uhuru street, huko irama watoto wa kinyiramba watamkoma, majitu haya safi kupeleka kwa tundu lissu.
 
Huo ni a ina ya watumishi wa chama chetu hiki pendwa.
 
Back
Top Bottom