TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

Simchezo kwa maneno haya nikikupa aya na Hadithi hazita fua dafu.

Nishamuwekea mtu ushahidi wa Hadithi ya Mtume, kwenye Qur'an soma habari za watu wa kaumu Luti uone kilicho wakuta na ubaya wa vitendo hivyo,ukiona haja utasoma usipo ona haja kadhalika utapuuza.

Ila huwezi kuwa na akili timamu ukatetea ushoga na usagaji. Wewe ni miongoni mwao, kuendeleza mjadala na wewe ni matumizi mabaya ya akili na muda pia.

Usipo kuwa na hoja bora ukae kimya kuliko kuwatusi watu na kuwazulia uongo, sababu hajutii mtu akikalia kimya mambo asiyokuwa na ujuzi nayo.

Nimemaliza.
Allah akulipe kheri ndugu yangu.

Namuomba Allah awaongoze hao katika njia ya sawa au awaangamize, Aamiin.

Hawamshindi Allah.
 
Najua kingereza ni kigumu mno kwako

4;16. If two men among you are guilty of lewdness, punish them both. If they repent and amend, Leave them alone; for Allah is Oft-returning, Most Merciful.
  • Tafsir al-Jalalayn 4:16 .... act adultery or homosexual intercourse punish them both with insults and beatings with sandals;
Jibu swali nililo kuuliza.

Naam kiingereza kigumu kwangu na mimi nina matini ya aya na tarjama ya Kiswahili. Hii ndiyo tofauti yetu na nyinyi, wewe huna marejeo ya asili kwenye vitabu vyenu ndiyo maana hawajulikani waandishi wa Vitabu vyenu na bado mnaviamini.

Sasa kipi bora kati ya tarjama na maneno ya asili ?

Ukijibu maswali niliyo kuuliza, unistue nije kuendelea hapa nilipo ishia.
 
Jibu swali nililo kuuliza.

Naam kiingereza kigumu kwangu na mimi nina matini ya aya na tarjama ya Kiswahili. Hii ndiyo tofauti yetu na nyinyi, wewe huna marejeo ya asili kwenye vitabu vyenu ndiyo maana hawajulikani waandishi wa Vitabu vyenu na bado mnaviamini.

Sasa kipi bora kati ya tarjama na maneno ya asili ?

Ukijibu maswali niliyo kuuliza, unistue nije kuendelea hapa nilipo ishia.
Sio Mimi nimetoa tafsir ya verse ni skola nguli wa waislamu

4;16. If two men among you are guilty of lewdness, punish them both. If they repent and amend, Leave them alone; for Allah is Oft-returning, Most Merciful.
Tafsir al-Jalalayn 4:16 .... act adultery or homosexual intercourse punish them both with insults and beatings with sandals;

Sasa unapo jibu kawabishie al jalalayn usinihusishe kabisa

Watukane jalalayn kwa kupotosha maandiko yenu
 
Muuza ubuyu sio fukara hujui kama Bakharesa anauza Chapati na Maandazi!?

Mkiitwa Mafukara mnalalamika ona akili zenu zilivyo nusu.
Kwahiyo chapati na maandazi ndio ubuyu!

We e muuza ubuyu huna kiburi cha kuja kuita wenzako ni masikini na mafukara.


Njaa imekujaa
 
My Queen Dream Queen salute kwako, long live The Queen 🙌

Umejua kunikomeshea watu aise, nimesoma kila comment dah sijui kwanini sikukuita yule ajuza alivyoanza kunichokonoa 😂😂😂

Lakini nina Zawadi yako 🎁
 
Salam
Ndo nimeskia Hapa hii tetesi , kua yule dada bwana kauliwa na aliyekua mkewe yule walokua wanaishi wotee na yasemekana Yuko mbele ya mamwera Kwa uchunguzi
Kama kweli ni mhusika baasii,
Daaahhh ..nimechokaa aseeehh,alijua atasalimika kirahisi hvyo wakati yule mtu watu walikua wanamtumia kupitisha mambo Yao...tamaa mbaya sana ,amekosa Mwana na Maji ya moto,Kwani alilazimishwa kuolewa na yule dada au ndo alichoka kuishi na mwanamkee mwenzie!!

Watu fikra zilitupeleka kwenye kudhulumiana na mambo yake kumbe Kuna ukweli mwingine tulishindwa kuuwaza
cocastic njoo kwanza Hapa maana najua weye hukosi la kusema

NB;Mungu amesema muishi nasi Kwa akili mjue

JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom