Ni yeye ameuwawa kweli ila chanzo hakijulikani wamemuuwa kwenye boma lake allokuwa anajenga jana usiku sasa kugundulika mafundi wamegundua asubuhi walivyofika maana unaambiwa jana jioni alienda kuwalipa mafundi na alikuwa amevaa zake dera na ndio hata picha akiuwawa zipo hivyo hivyo na pia ametokq juzi kati kujifungua katoto alikuwa na mimba kubwa tu japo wengine wanadai alikuwa hajajifungua ila mimi nimeambiwa kajifungua mtoto njiti wa miezi 7 na mtoto alikuwa yupo mwanza na yeye huku geita ndio kwao ila sasa yeye Ana mji mwanza hivyo na jana ndio alikuwa ameanza off kwa ajili ya kurudi mwanza ....na pia mafundi wakamwambia boss tupe lift turudi wote town akasema aah nyie tangulieni tu kuna mtu namsubiri ...sasa huyo aliekuwa anasubiriwa ndio hatujui na nasikia kachunwa hadi ngozi usoni japo picha ni amelala kifudifudiMkuu kwani imethibitika kama aliyeuawa huko ni Milembe? Em tupe uhakika mkuu?
Shida ya mashoga na wasagaji ni kujitangaza hadharani na kutaka watoto waige na kusahau kuwa hii ni Tanzania na wanaweka maisha Yao hatarini. Tangu enzi walikuwepo sikuhizi wanataka waonekane vitendo vyao hadharani kuliko hata mahusiano halali hawajionyeshi mubasharaUsagaji upo miaka nenda rudi
Na wapo wanaosagana kimya kimya
Ova
Huyo mwanaume naye katili ana deal vipi na mwanamke In harsh way, angemtafta awagegede threesome na kuwaachaHuyo kapora demu wa mtu,geita watu wanaroho ngumu kila siku unasikia mauaji geita
Kafa vibaya masikini, huko geita Kuna mashetani wallahNi yeye kachinjwa
Duh badili aisee.Kuna umuhimu wa kubadili hii username sasa!
Mimi ni mwanaume chief nadhani mfanano wa id umeleta shida kidogo.
Yaweza kuwa maana walikuwa wakipelekwa mahakamami wanaanza kelele mara kampeni za Kina mange kimambi labda hii ni mbinu nyingine. Na wao si wabanduane kimya kimya kwani lazima kutangazaUkute hata sio raia, Kuna namna Huwa inafanyika kutisha waovu na kuwasambaratisha Ili HOFU iwaingie.
Ndio ujinga ulipo hapoKm kwenye ushoga anasakamwa muingiliwa, ila muingiliaji ana achwa.
Kazi ipoo mbna.
Kuna wengine wanadanganywa na fedha na kujikuta wameingia kwenye mtego. Trust me. Yaani unakuta mwanamke siyo msagaji, ana watoto na ni mke wa mtu lakini anasomeshwa kwa kishawishi mpaka anaingia kingi. Mwanamke kusagwa siyo lazima na yeye awe msagaji. Ni kama vile unavyokuta mwanaume anavyoweza kudanganyika mpaka akaingia kwenye ushoga. Na wakati mwingine kuna hivi vitoto vya kike, ndiyo vimevunjwa ungo, vile navyo ni rahisi sana kulaghaiwa na wanawake wasagaji.Sa
Sasa kama Msagaji anachepuka na wake za watu na hao wake za watu nao wanasagana si inamaana na hao wake nao ni wasagaji??
Au mimi ndio sielewi??
Africa kuna laana kubwa sana.
Eti analaumiwa msagaji na anaosagana nao hawaangaliwi kabisa.
Ni kheri wakaacha kabisa.Yaweza kuwa maana walikuwa wakipelekwa mahakamami wanaanza kelele mara kampeni za Kina mange kimambi labda hii ni mbinu nyingine. Na wao si wabanduane kimya kimya kwani lazima kutangaza
Ndo hapo sasa, waingiliaji wana achwa. Ndo wanawaharibu wengine upyaaa.Ndio ujinga ulipo hapo
DahNi yeye ameuwawa kweli ila chanzo hakijulikani wamemuuwa kwenye boma lake allokuwa anajenga jana usiku sasa kugundulika mafundi wamegundua asubuhi walivyofika maana unaambiwa jana jioni alienda kuwalipa mafundi na alikuwa amevaa zake dera na ndio hata picha akiuwawa zipo hivyo hivyo na pia ametokq juzi kati kujifungua katoto alikuwa na mimba kubwa tu japo wengine wanadai alikuwa hajajifungua ila mimi nimeambiwa kajifungua mtoto njiti wa miezi 7 na mtoto alikuwa yupo mwanza na yeye huku geita ndio kwao ila sasa yeye Ana mji mwanza hivyo na jana ndio alikuwa ameanza off kwa ajili ya kurudi mwanza ....na pia mafundi wakamwambia boss tupe lift turudi wote town akasema aah nyie tangulieni tu kuna mtu namsubiri ...sasa huyo aliekuwa anasubiriwa ndio hatujui na nasikia kachunwa hadi ngozi usoni japo picha ni amelala kifudifudi
Kama ndiyo huyo milembe, wadau wanakuambia alikuwa ni mtu wa vurugu akiwa sehemu za matumizNdo hapo sasa, waingiliaji wana achwa. Ndo wanawaharibu wengine upyaaa.
Hata km busara ingetumikaa,Kama ndiyo huyo milembe, wadau wanakuambia alikuwa ni mtu wa vurugu akiwa sehemu za matumiz
Kuvimba,ndiyo hiyo unaweza kuta kachukua manzi ya mtu na kebehi juu
Anawatolea
Mfano tu,ukiangalia hyo clip aliyokuwa
Akimvisha dem wake Pete,anasikika akitukana akiwambia zimeni mziki
Anyway pole yake,hii dunia ni uwanja wa fujo
Ova
Na wanaume wafanyaji hicho vitendo ndio kinara wa kupinga wakati wanaharibu Hadi watotoBongo umejaa unafiki mnoo.