Bado Mkuu, sijui kuna nini na serikali yetu hii. Toka mda mrefu, sasa hivi unaenda mwezi wa pili toka usaili ule ufanyike ila kimya na wakati wao huwa wanadai inachukua majuma mawili tu mpaka kuitwa kazini.Ninamdogo wangu alifanya usaili Utumishi wa Afisa Tarafa vipi walisha itwa watu kazini?Naomba kujuzwa!
Mbona kwenye website yao majina hayo hayapo?Msaada zaidi
vuteni subira watatoa taarifa tu kutakuwa kuna isu wanakamilishaNami nilihusika ktk usaili ule ilikua tarehe 14 na 18 june na wakasema wataita kazini afta 2 weeks lakin hadi sasa mwezi na nusu hawajaita cjui wanampango gan??
Nami nilihusika ktk usaili ule ilikua tarehe 14 na 18 june na wakasema wataita kazini afta 2 weeks lakin hadi sasa mwezi na nusu hawajaita cjui wanampango gan??
mda ukifika mtaitwa tu ndugu Palamana Ntweko