sometimes mahakimu wanakera,
Kuna kipindi nilikamata mwizi na jamaa akamuachia hivi hivi
Wacha adundwe
Hapo Hakimu kama kweli alipigwa basi alijitakia kwa sababu huwezi kumwambia mkuu wa upelelezi ambaye ndiye huandikia majalada kuja mahakamani kuwa hamtambui ila mwendesha mashtaka aliyechini ya Mkuu wa upelelezi, hapo kuna ukweli kuwa mrungura ulitembea na huenda alikula na mwendesha mashtaka, hata hayo majibu aliyotoa yanatosha kuonyesha jeuri, kipigo alistahili kwa sababu mahakimu wengi wanaharibu kesi baada ya kupokea rushwa
Habari bandugu,
ajarushwa ngumi isipokuwa hakimu ndo alitaka kumrushia ngumi...ndpo aripoamua Oc cid kurud nyuma kukwepa ugomvi,...magazet yanadanganya
Hapo Hakimu kama kweli alipigwa basi alijitakia kwa sababu huwezi kumwambia mkuu wa upelelezi ambaye ndiye huandikia majalada kuja mahakamani kuwa hamtambui ila mwendesha mashtaka aliyechini ya Mkuu wa upelelezi, hapo kuna ukweli kuwa mrungura ulitembea na huenda alikula na mwendesha mashtaka, hata hayo majibu aliyotoa yanatosha kuonyesha jeuri, kipigo alistahili kwa sababu mahakimu wengi wanaharibu kesi baada ya kupokea rushwa
Ww akili huna kabisa,utaratibu wa mahakama unamtambua pp sio mkuu wa upelelezi,pole sana hakimu.
Chei Chei Shangazi, ni wimbo unaonikumbusha enzi hizo za RTD, naomba ujue kuwa polisi na mahakama ni mihimili miwili inayotegemezana, na ukisema nani anatambulika mahakamani ni katika nini hapo, Mahakama inawatambua wote OC CID NA PP, kwa sababu wote hao ni polisi, isipokuwa kwa sasa baadhi ya Mikoa tayari kazi ya U PP iko chini ya ofisi ya mwana sheria mkuu wa Serikali,Kwani mahakamani anatambulika nani kati ya mkuu wa upelelezi na mwendesha mashtaka?Na ni sheria gani inaruhusu hakimu apigwe?Je sisi wananchi tunapozuiliwa kuchukua sheria mkononi,hizo sheria ni kwa ajili ya nani?Uache kushabikia upuuzi.
acha kupotosha Uma ww. kifupi mwendesha mashtaka hata awe Raisi hawezi toa amri kwa mahakama, unless kwa hakimu asie na msimamo/asiejua nafasi yake kama hakimu. Zaidi OC CID, OCD , RPC na yeyote yule katika jeshi la polisi hatambuliki kisheria kwa Judicial system ya TZ na hana nafasi katika uendeshaji kwa kuzingatia cheo chake. Angalia katiba na sheria zinazoanzisha mahakama, na ujifunze kuzungumza kitu unachokijua sio uropoke tu.Chei Chei Shangazi, ni wimbo unaonikumbusha enzi hizo za RTD, naomba ujue kuwa polisi na mahakama ni mihimili miwili inayotegemezana, na ukisema nani anatambulika mahakamani ni katika nini hapo, Mahakama inawatambua wote OC CID NA PP, kwa sababu wote hao ni polisi, isipokuwa kwa sasa baadhi ya Mikoa tayari kazi ya U PP iko chini ya ofisi ya mwana sheria mkuu wa Serikali,
Naona kaka umekurupuka haswa , soma nilichoandika harafu angalia ulichoandika kama kina husiana au la, kwanza kabisa nakusahihisha juu ya mwandesha mashtaka hutoa amri kwa mahakama kumuona mshatakiwa anakosa na apewe adhabu kali, mwendesha mashtaka ndiye huiambia mahakama kama kuna ushahidi katika kesi husika au, ndio maana mwendesha anaweza kuiamuru mahakama kufuta kesi, Mfano hai ni juzi tu Kesi ya Rwakatare Mwendesha mashtaka aliiamuru mahakama kufuta kesi dhidi ya Rwakatare, Mwisho Hakimu mwenyewe alisema anamjua Mwendesha mashtaka na sio OC CID, kwa Kifupi Mwendesha mashtaka anatambulika na mahakama, awe polisi au raia mahakama inamtambua, kama Hujaridhika karibu kwa maswali na maoni, soma CPAacha kupotosha Uma ww. kifupi mwendesha mashtaka hata awe Raisi hawezi toa amri kwa mahakama, unless kwa hakimu asie na msimamo/asiejua nafasi yake kama hakimu. Zaidi OC CID, OCD , RPC na yeyote yule katika jeshi la polisi hatambuliki kisheria kwa Judicial system ya TZ na hana nafasi katika uendeshaji kwa kuzingatia cheo chake. Angalia katiba na sheria zinazoanzisha mahakama, na ujifunze kuzungumza kitu unachokijua sio uropoke tu.