herbsman
Member
- Apr 29, 2011
- 81
- 57
Nafasi imetangazwa ya kuwa wanahitajika watu wawili kuweza kukidhi hizo nafasi husika, inakuwaje company au taasisi husika una shortlist watu 1470 kwa ajili ya written interview ya kupata watu wawili na unatumia criteria gani kupata hawa watu wawili ndani ya watu 1470?