Natafuta afisa mifugo aje kuanzia leo, awe anakuja kuangalia ng'ombe wangu na kutoa ushauri juu ya matunzo na matibabu.
Ng'ombe wapo Dar (Pugu-Viwege).
N.B:
(1)Awe tayari kuja site na kukaa site kwa muda usiopungua saa nne (at keast for 4 hours) mara mbili kwa mwezi
(2)Awe tayari kuandika vitu vyote vya muhimu kuhusu matunzo na masuala mengine yahusuyo ufugaji katika jalada au kutoa/ kuuza vitabu au chichite kile kinachohusu ufugaji au kuhusu alichoelimisha - ili kuhufadhi kumbukumbu zinazoweza kutumika baadaye