Chadema mabingwa wa kuvunja sheria za nchiAfisa Maudhui wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dominic Mgaya amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa kosa la kuchapisha maudhui mtandaoni bila kuwa na leseni ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).
View attachment 1574006
Akisoma hati ya mashitaka mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo RIchard Kabate, wakili wa Serikali, Adolf Ulaya amesema kuwa mshitakiwa anakabiliwa na kesi ya jinai namba 127 ya mwaka 2020.
Mgaya anadaiwa kurusha maudhui kupitia ukurasa wa YouTube wa CHADEMA MEDIA TV bila kuwa na leseni ya mamlaka husika, kati ya Oktoba 14, 2017 na Septemba mosi, 2020 katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam.
Aidha, mshitakiwa amekana kutenda kosa hilo na amefanikiwa kutimiza masharti ya dhamana kama ilivyoamriwa na Mahakama.
Hata hivyo upande wa mashitaka umedai kuwa upelelezi wa shauri hilo bado haujakamilika hivyo kuiomba Mahakama kupanga tarehe nyingine.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi Oktoba 20, 2020 itakapotajwa.
You have no idea what you are talking about! Yanayoendelea sasa hivi ni uhuni tu kulinda maslahi ya CCM! May the Lord judge all oppressors accordingly!sasa ruzuka mil 300 kila mwezi, bado wanachama wanachanga! bado wananchi wanachanga! leseni mil 1.3 kwa miaka mitatu, whats going on chadema
Nyinyi pesa zenu za CCM zinatunyoosha watanzania wote maana ni za wizi wa kodi na mali zetu! Wanyang'anyi wakubwa nyie!Kwa hiyo huoni hiyo michango inavyo mnyoosha mgombea wenu kiasi cha kumfanya kukata pumzi mara kwa mara?
Humwelewi kabisa Lema!!hio pumzi mnayoongelea mngejua ndo hali yenu, mwenzako lema ashajua hakuna future chadema: kwenye mikutano yake watu wanakuja wamevaa ccm na bado anawakaribisha waombe kura! mmebaki tu nyie na lissu wenu
Si chadema,bali watanzania tulio wengi tunahitaji uongozi bora.maana taasisi zimebaki kufanya kaz ya mtu binafsi badala ya KATIBA. amigochadema mkichukua nchi mtafuta TCRA?
sasa ruzuka mil 300 kila mwezi, bado wanachama wanachanga! bado wananchi wanachanga! leseni mil 1.3 kwa miaka mitatu, whats going on chadema
Zinafanya kazi ya kaka mkubwa, nasiyo ya chama, chadema hata ofice hawana nchi nzima, wanaishia kupanga ili wale 10% sembuse na kulipia licence.
Nawatu wanazidi kuchangishwa, ha ha ha! Siasa ukiipatia nibiashara isiyokuwa na jasho.
Humwelewi kabisa Lema!!
CCM ndio inapokosea..Afisa Maudhui wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dominic Mgaya amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa kosa la kuchapisha maudhui mtandaoni bila kuwa na leseni ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).
View attachment 1574006
Akisoma hati ya mashitaka mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo RIchard Kabate, wakili wa Serikali, Adolf Ulaya amesema kuwa mshitakiwa anakabiliwa na kesi ya jinai namba 127 ya mwaka 2020.
Mgaya anadaiwa kurusha maudhui kupitia ukurasa wa YouTube wa CHADEMA MEDIA TV bila kuwa na leseni ya mamlaka husika, kati ya Oktoba 14, 2017 na Septemba mosi, 2020 katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam.
Aidha, mshitakiwa amekana kutenda kosa hilo na amefanikiwa kutimiza masharti ya dhamana kama ilivyoamriwa na Mahakama.
Hata hivyo upande wa mashitaka umedai kuwa upelelezi wa shauri hilo bado haujakamilika hivyo kuiomba Mahakama kupanga tarehe nyingine.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi Oktoba 20, 2020 itakapotajwa.
You have no idea what you are talking about! Yanayoendelea sasa hivi ni uhuni tu kulinda maslahi ya CCM! May the Lord judge all oppressors accordingly!
CCM ndio inapokosea..
Muda huu kila kitu kinakua politicized...
CCM inazidi kujichafulia jina tu...inaonekana bully,na wananchi know what to do to a bully!
CCM inaisaidia Chadema kampeni sana yaani....
CCM ni mavilaza mno
CCM mnadhani propaganda za kifala hivi unaweza leta online humu watu waliomo ni degree holders wote waamini huu umatakor wenu mlio edit?Ndio, hii au?View attachment 1574133
fuateni sheria acha kulialiaSi chadema,bali watanzania tulio wengi tunahitaji uongozi bora.maana taasisi zimebaki kufanya kaz ya mtu binafsi badala ya KATIBA. amigo
Acha umama wewe..Ccm ni muonevu na hakuna MTU hajui ilo. But ni muonevu kwa watu wasiokua na mema na hii nchi, kwan umeona vyama vingine vya upinzani vimesumbuliwa?
Acha umama wewe..
Vyama vyote vina viTV vyao bila leseni,then mliemshika ni Chadema pekee yake!
Mnadhani kuna mtoto hapa?
Punguani nyie vilaza...akili hamnaga hadi boss wenu
Hao wenginewenye nazo wao hawajavunja sheria,alievunja ni Chadema pekee yake?We unadhan vyama vingine vina matumizi mabaya ya ela kama nyie , yule anaeupload chadema TV afungwe bana yeye nan asinunue leseni
Mimi kiukweli hua nipo neutral sinaga uchamachama sana.ila ninapoona mambo anuai hamkani so shwari,napaswa kupaza sauti amigo.fuateni sheria acha kulialia
kina shafii dauda walipigwa faini ya 5m kwa kesi kama hizi,mlifurahi sana kwamba wakome kuishabikia ccm na kituo chao,mpaka alipodakwa mtu wenu mnapiga mikelele
Basi nami hujanielewa!Lema anawasema wakina mama wanaouza mboga wakati yeye ndo alikua mbunge miaka 10, unataka tumwelewe vp
Hao wenginewenye nazo wao hawajavunja sheria,alievunja ni Chadema pekee yake?
Kwahiyo wote wamevunja ila for some strange reason afungwe Chadema pekee yake?
Nchi kuna rule of law kweli au ni selective rule of law?
Ndio maana mnaambiwa kila siku,hamna akili...Kikwete alikua na akili zaidi yenu mara elfu!
Alikua hafanyi upumbavu huu na alikua anashinda kwa 85% kwenda mbele....he was hell of smarter nigga ever to happen ni CCM!