AFISA MAENDELEO YA JAMII NGAZI YA CHETI

MGOGO27

JF-Expert Member
Jan 5, 2016
459
218
natafuta kazi ya uafisa maendeleo ya jamii na utafiti kwa ngazi ya cheti popote Tanzania au Afrika mashariki
 
Ngoja waje wanao jua post hizo zilipo! ila mmmh! certificate?!!! wenye degree wako kitaaa! Anyway hakuna lisilowezekana waweza pata huo uafisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom