Miss liquid
Member
- Apr 25, 2019
- 24
- 15
Atakuambia hana mtaji.Afisa kilimo unashinda mjini?Nunua madawa then njoo vijijini uwauzie wakulima wa korosho.
Unataka ashinde wap achen kujifanya wajuaji kama unaona huna msaada funga mdomo wako, na usitype hapaAtakuambia hana mtaji.
Tangulia atakujaKuna shamba la bure huku linahitaji mtaalamu wa kilimo aliboreshe kwa kulima
Wew umewahi kufanya hivo mara ngapi??Afisa kilimo unashinda mjini?Nunua madawa then njoo vijijini uwauzie wakulima wa korosho.
Kwa majibu yako mabaya kazi hupati ng'ooo, jinga kabisaWew umewahi kufanya hivo mara ngapi??
Acha kujibu kama vile umeshafika
Ubinadamu zero
Kuuza duka la mifugo unaweza na kama uko dar andika barua ya maombi peleka kwa HR wa Hills feeds wanahitaji diplomas holder.Wew umewahi kufanya hivo mara ngapi??
Acha kujibu kama vile umeshafika
Ubinadamu zero
Afisa kilimo unashinda mjini?Nunua madawa then njoo vijijini uwauzie wakulima wa korosho.