Afisa Kilimo anapatikana

Afisa Kilimo anapatikana

Miss liquid

Member
Joined
Apr 25, 2019
Posts
24
Reaction score
15
Habari wana Jf
Afisa kilimo mwenye elimu level ya Diploma, course ya General agriculture na mwenye uzoefu wa mwaka mmoja katika kaz anatfuta nafasi ya kazi kwa kampuni binafsi zenye uhitaji wa mtu wa taaluma hyo
Kwa mwenye uhitaji plz Pm
Asanteni.
Napatikana Dar es salaam.
 
Kuna shamba la bure huku linahitaji mtaalamu wa kilimo aliboreshe kwa kulima
 
Atakuambia hana mtaji.
Unataka ashinde wap achen kujifanya wajuaji kama unaona huna msaada funga mdomo wako, na usitype hapa
Mnakera, yan ninyi ni wale msiopitwa na jambo, ata kmaa huna la kusrma anafanya useme tu
Wew kam umefanikiwa kwa chochote mshukuru Mungu
Acha kuongea kama hujapitia shida wew
Yan umenikera mnooo
Mungu anisamehe tu
Kwa majibu haya mana sinaga huzi ishu
 
Back
Top Bottom