AfDB willing to arrange Kenya oil pipeline financing

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,983
11,406
The African Development Bank (AfDB) is ready to act as a lead arranger for financing of Kenya's planned oil pipeline to move crude from fields in the far north county of Turkana, a senior official of the bank said on Friday.

Kenya and Uganda have been haggling over which route to choose for an oil export pipeline that Kenya wants to run through its territory rather than neighbouring Tanzania, where an alternate project backed by oil major Total, looks set to get the green light.

AfDB willing to arrange Kenya oil pipeline financing
 
Ukiona hivyo ujuwe vikwazo vimeanza kufanya kazi, subiri utaniambia, mradi huu hautapitia Tanzania hata tufanyaje
 
Ukiona hivyo ujuwe vikwazo vimeanza kufanya kazi, subiri utaniambia, mradi huu hautapitia Tanzania hata tufanyaje
Kwani hii project ni sawa na ile kupeleka Uganda? Hapana ile iko chini ya Total ndio sponsor na Uganda ndio wasemaji wakuu: hiyo ya Kenya ni project ingine inaishia ndani ya Kenya kule far north Turkana!
 
Mkuu subiri utaniambia
 
Ok wenda wakenya wanajua kuna mambo yaweza tokea sasa wanajiandaa mapema kua na vigezo kwenye mradi apo kuna draft tusipige kelele tu tujifunze kucheza draft naona wasukuma kete wako wengi bongo basi tufikilie kidg mbali kuna kitu wamenusa sisi uku tunaweka uchama tukikosa taifa litakua hovyo pasipo chama kukaa mble
 
Back
Top Bottom