Afcon 2026/2027

Afcon 2026/2027

money1

New Member
Joined
Aug 8, 2025
Posts
1
Reaction score
1
Je ( Tanzania , Uganda na Kenya) wame jipanga ipasavyo ku host Afcon 2026/2027?
 

Attachments

  • images (4).jpeg
    images (4).jpeg
    18.3 KB · Views: 14
Mjomba, kwa sasa dunia imerahisishwa. Ingia faster ChartGPT watakupa majibu yote ya swali lako.
 
Kwa huku Zenji ujenzi wa nyumba ni mwingi sanaaaa kwaio wageni hawatopata tabu nyumba za kulala

Pia kuna viwanja vipya vinajengwa
 
Back
Top Bottom