AFCON 2015 Qualifiers: Msumbiji vs Tanzania

sifuri

Senior Member
Joined
May 12, 2013
Posts
155
Reaction score
88
Tupia link ya stars v/s mozambique leo mwenye nayo.

Chanzo: SalehJembe Blog

Chanzo: Goal.com
 
Saa ngapi east african time na kituo gani kinarusha live ?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mwenye link jamani utakua umetusaidia wengi sana...
 
Nimetune tv ya mozambique hapa wanachambua ila sielewi wanachoongea,wanaonesha marudio ya Highlits za game iliyopita.

Wachezaji wetu wa black mambaz wana ari kubwa sana leo Taifa staz lazima wakae.

#Team Black mambaz.
Katavi Skype Kigogo
 
Last edited by a moderator:

Pamoja sana mkuu, black mambaz tunakamua tena tuko kwetu.
 
Last edited by a moderator:
Nimetune tv ya mozambique hapa wanachambua ila sielewi wanachoongea,wanaonesha marudio ya Highlits za game iliyopita.

Wachezaji wetu wa black mambaz wana ari kubwa sana leo Taifa staz lazima wakae.

#Team Black mambaz.
Katavi Skype Kigogo

channel gani hiyo mzee mwenzangu...
 
Last edited by a moderator:
Wakuu natazama TVM1 hapa naona kama wanataka kurusha hii mechi maana kuna
kiuchambuzi fulani kinaendelea, kama hii mechi itarushwa na hakutakuwa na katizo
la umeme tutapeana kile kitakachojiri. Naomba ushirikiano wenu wale tunaoipata TVM.
 
Timu zinaingia uwanjani wakuu Tz wamevaa jezi zao za bluu mpauko.
Listi imepita haraka mno.
 
Duh Uwanja umefurika kwelikweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…