AFB ( ACID fast bacteria) maranying huripotiwa no AFB seen au AFB - iki maanisha huyo MTU hana maambukizi ya kifua kikuu kwenye kifua sample inayo chukuliwa ni makohozi ya asbuh kabla ya kula chochote.
NOTE: makohozi kuwa negative( AFB) hai maanishi kuwa hauna TB 100% kwasababu kuna false negative mahabara MTU asipo kuwa makini ivyo kuna kipimo kingne kina itwa gene Expert ni kizur kwa uthibitisho.
Lakn pia TB inaweza tokea kwenye mifupa, uti wa mgongo, na hata kwenye moyo na sample huwa ni tofauti na makohozi.