Hata ndugu ni wale uliozaliwa nao tumbo moja pekee, wengine wote ni jamaa zakoNdo maana sielewi ishu za ukooo
Inategemea kama ukoo;Mama yako si Ukoo wako.
UKOO ni zao lako na alipozaliwa Baba yako
Watoto wa shangazi hawana ukoo na wewe
Hawa ndo Wana akiliPole sana mkuu.
Niliwah kufanya kazi sehem moja ndani ndani, wamama wengi mabinti zao walipokua wakichaguliwa tu kwenda sekondari wanakuja hospital wanakwambia muekee njiti mbili zile znazofunga kuzaa for 5 yrS.
UKiuliza kwanin wanakwambia bora ukimwi kuliko mimba.
N kitu kinaumiza sana lakn ndo tanzania yetu
Kuzaa kuna shida gani?Dah kuzaa shida kutoa nako shida...
Angevumilia apambane tu na lolote
Nimeshangaa anasema "Kwa mama huko."Mama yako si Ukoo wako.
UKOO ni zao lako na alipozaliwa Baba yako
Watoto wa shangazi hawana ukoo na wewe
Wacha wee!Kuzaa kuna shida gani?
Dogo kagoma kwenda kuzimu pekeyake kamwambia maza huko tunakwenda wote huniachiImenibidi nisubiri tuzike kwanza ili machungu yaishe, Kisha nilete Uzi hapa.
Ni ndugu yangu, ki ukoo yeye ni dada yangu, lakini upande wa mama huko. Mimi niliambiwa tu huyu ni dada yako na sikutaka kujua zaidi maana ishu za ukoo zinanichanganya sana.
Tumeonana December mwishoni tulipoenda kusalimia nyumbani Tukuyu.
Haijapita hata wiki toka tumeondoka kijijini tunapigiwa simu yule dogo amefariki dunia huku chanzo ikidaiwa ni kujaribu kutoa ujauzito Kwa dawa za mitishamba zilizompelekea kutoka damu nyingi mpaka mauti yalipomkuta.
Inaelezwa kwamba alikua alihofia kufukuzwa shule alikua anaingia kidato Cha tatu januari hii.
Pia alihofia ukali wa wazazi wake kwani wangeweza mfukuza nyumbani[emoji29]
So sad, miaka 17 tumeshampoteza