Afanye nini dada huyu?

Ni habari ya kweli na imenichanganya sana kwa kuwa namfahamu binti ni mtulivu na ana tabia njema. Sikutegemea kama yule Bwana angemfanyia hivyo wakati toka mwanzo alijua binti ni mkristo.

Makubaliano yao toka mwanzo yalikuwa nini maana na huyo binti alijua huyu jamaa ni muislamu.
 
Sasa dada Happy, umeishi na mtu miaka mitano, kakulelea mtoto/watoto leo unashindwaje kumsaidia au aliondoka mkiwa mmekorofishana?

Binafsi nadhani una nafasi kubwa ya kumsaidia kuliko mtu mwingine yeyote ukizingatia unasema hana ndugu, na ndugu yake kwa sasa ni wewe, msaidie plz!

Tatizo linakuja kuwa asepe aende wapi???? Kwangu nilikuwa naishi naye kama house girl! hana ndugu.
 
Mrudishe kwako na uishi naye kwani wewe ndiye mlezi wake na unaijuwa historia yake na kwavile umewahi kaa naye basi mfanye awe mmoja ya wanafamilia wako/ Wanao. Mungu ni Mwema na atakubariki kwa hil.

MMMMH Usawa huu wa serikali ya Jakaya, nikaongeze familia ya mama na mtoto??!!! sina uwezo ndugu yangu.... angekuwa peke yake afadhali, sasa na mtoto juuuu. uwiiiiiiiiiiiiii!
 
wewe ndo ndugu yake hapa mjni mpe msaaada hata kwa kumsaidia kuanzisha biashara ndogo

MMMMH Usawa huu wa serikali ya Jakaya, nikaongeze familia ya mama na mtoto??!!! sina uwezo ndugu yangu.... angekuwa peke yake afadhali, sasa na mtoto juuuu. uwiiiiiiiiiiiiii!
 

Ram ndugu yangu wee!!! Ningekuwa na uwezo mbona ningeshamsaidia. Kanilelea watoto na nimeishi naye vizuri sana! Tatizo uwezo wa kulea mama na mtoto. Plz ndugu, kama una weza naomba umsaidie hata kwa mawazo tu
 

Ye nani alimwambia akatmbee na Uamsho.... ? Mtafutie mtaji aondoke hapo fasta akabangaize mbele atajakufa bure .
 

Japokuwa hana wazazi lakini kijijini kwao ana ndugu, mrudishe kijijini kwao ulikomtoa.
 

hii umetunga unabishaaaaaaaaaaaaaa
 
Mimi nilikuwa naishi naye kama house girl wangu. Yeye ananiona mimi kama ndiyo ndugu yake na kila kitu ananiambia mimi. Sasa aliponiambia kuhusu hili, nimejikuta njiapanda siwezi msaidia. Nimeomba ushauri wenu

Kama kweli umeguswa sana na tatizo lake msaidie tu huna jinsi dada.
 
hii mbona kali xaxa, yeye mwenyewe anasemaje


kama karidhika aishi naye(maana mambo ya mapenzi ni watu wawili )
 
hii mbona kali xaxa, yeye mwenyewe anasemaje


kama karidhika aishi naye(maana mambo ya mapenzi ni watu wawili )

Yeye analia tu na kusema hayuko tayari kubadili dini. Tangu mwanzo walikubaliana kuishi kila mmoja na dini yake.
 

KIRUUUU hawa jamaa wana agenda ya SIRI ee???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…