happiness win
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,461
- 1,394
Hii habari siamini kuwa ni ya kweli! Ni namna tu ya kukuza mambo ya Uamsho na kuwapaisha bila sababu za msingi! Na kama ni ya kweli ina maana mwanaume anamfukuza kwa gia ya kusema abadili dini, familia imemshinda kulea kwa kukosa kwake kazi.
Mhh sijui itakuwaje.Hiyo ndio shida ya mapenzi ya kukutana barabarani.Kunusuru uhai wake mwambie dada asepe kama kweli hayuko tayari kubadili dini maana isije shingo yake ikafyekwa hao jamaa ni hatari sana maana wanafundishana ukatili sio Dini.
wewe mawazo yako ni nini kwani............!!!!!!!!!!!
Nilikuwa na msichana wa kazi niliyeishi naye kwa miaka 5. Kwa bahati mbaya hana wazazi wala ndugu anayeweza kumsaidia au kumtegemea kwa lolote. Mwaka jana alipata mimba na nilipomhoji kijana aliyempa mimba alikubali na kuamua kumchukuwa na kuishi naye kwa tabu kwani Bwana hana kazi, ni mtu wa day waka tu.
Jana msichana ananipigia simu na kunieleza kuwa Bwana wake amejiunga na Kikundi cha Uamsho na ametoa amri inayomtaka Mdada kubadili dini (alikuwa Mksristo) mara moja la sivyo aondoke na mtoto wake wa miezi miwili. Mdada hana pa kwenda na hayuko tayari kubadili dini. Nishaurini nimwambie afanye nini?
Tatizo linakuja kuwa asepe aende wapi???? Kwangu nilikuwa naishi naye kama house girl! hana ndugu.
kwani yule binti mwanzoni wakati anajiingiza kwenye ngono hakujua huyo bwana ni muislamu?, nashauri kama bint hayuko tayari kubadili dini atafute namna ya kuishi na mtoto vizuri, au la kama hamna jinsi akae na mzazi mwenzake wayajadili vyema kwa utulivu kuhusu mtoto, naamini hekima ikitumika hakuna kitu kitaaharibika, japo mwanzo wa mahusiano yao walishayaharibu. Pole sana binti.Ni habari ya kweli na imenichanganya sana kwa kuwa namfahamu binti ni mtulivu na ana tabia njema. Sikutegemea kama yule Bwana angemfanyia hivyo wakati toka mwanzo alijua binti ni mkristo.
ni kikundi ambacho kikikukuta umelala kinakuamsha.staili inayotumika kuamsha inatofautiana kulingana na mazingira.uamsho ni nini?
inawezekana vipi mtu asiwe na ndugu Happy?...wewe ulimtoa wapi kabla ya kuanza kuishi naye?
labda ujaribu kuwasiliana na watu wa ustawi wa jamii....
uamsho ni nini?
Nilikuwa na msichana wa kazi niliyeishi naye kwa miaka 5. Kwa bahati mbaya hana wazazi wala ndugu anayeweza kumsaidia au kumtegemea kwa lolote. Mwaka jana alipata mimba na nilipomhoji kijana aliyempa mimba alikubali na kuamua kumchukuwa na kuishi naye kwa tabu kwani Bwana hana kazi, ni mtu wa day waka tu.
Jana msichana ananipigia simu na kunieleza kuwa Bwana wake amejiunga na Kikundi cha Uamsho na ametoa amri inayomtaka Mdada kubadili dini (alikuwa Mksristo) mara moja la sivyo aondoke na mtoto wake wa miezi miwili. Mdada hana pa kwenda na hayuko tayari kubadili dini. Nishaurini nimwambie afanye nini?
wewe ndo ndugu yake hapa mjni mpe msaaada hata kwa kumsaidia kuanzisha biashara ndogoTatizo linakuja kuwa asepe aende wapi???? Kwangu nilikuwa naishi naye kama house girl! hana ndugu.