Alexander McQueen
Senior Member
- Aug 30, 2016
- 186
- 41
Ndugu wana jf poleni na majukumu kuna ndugu yangu alichaguliwa chuo cha mwalimu nyerere memorial then siku moja aliingia kwenye profile yake ya nacte akajaribu kuomba uhamisho pindi hawafunga dirisha la application kama mchezo vile mara wakamletea comfirm akijua hawatakubali maana hajaripa mara wakamkubalia na kumtumie ujumbe mfupi wa maandixhi kwamba maombi yake yamepokelewa baada ya siku wakamtarifu ombi lake limekubaliwa na akawa amepata chuo cha bustani teachers college sasa bac dogo anawaza afenyeje iLi abaki chuo cha zamani maana,ada na kila ki2 ameixha lipa na no ya usajiri aliishapata kwenye chuo cha awali je afenyeje ili abaki hapo hapo ushari please